Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ushaonyesha upeo wako kwa previous comments so...Fuata Ushauri wa bwana joka jeusi. .. tafuta zee la kumalizia maisha ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naomba Hilo zee lako ..
 
Kwa mazingira ya sasa na utandawazi huu, na smartphone hizi, na filamu za mapenzi hizi, yaani kumpata mke bikira labda ukavizie mtoto wa darasa la sita tena sio mjini umfate kijijini. Hapo pia ujue mvua ya miaka 30 inakunyemelea!
Jambo lingine unapaswa kukumbuka kwamba wanawake wanaoolewa wakiwa mabikira wana kasumba ya ushamba na ulimbukeni katika mapenzi, yaani akishazibuka tu hata houseboy au bodaboda atampitia tu! We hangaika nao utakuja ng'oa majani kwa meno!
 
1. Mimi ni mwanaume mtoa bikra hivyo mimi ndiye Mthibitishaji na mwanamke ni mthibitishwaji. Mwanamke yeyote anaweza kujiita bikra lakini lazima asibitishwe na mwanaume

Kwahiyo wewe umetoa bikra za wanawake wote? Na hivyo umethibisha hakuna njia nyingine?

Vipi baba alioa bikra in this case mzee wa kutoa bikra?

Ulithibisha vipi ?
 
Ulithibisha vipi
 
Uliwahi kuoa bikra Mkuu?

Tuulize sisi tuliooa bikra ndio tutakusimulia.

Nyie ndio wale masikini wanaosema ukipata pesa hutakuwa na amani, sijui tajiri halali usingizi wa amani. πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Ukiulizwa uliwahi kuwa tajiri unajibu hapana, wewe kama sio mwehu ni nani? Masikini bhana.

Ndio kama wasiowahi kuoa wanawake bikra, wanaongea mambo ambayo hawayajui
 
Kwahiyo wewe umetoa bikra za wanawake wote? Na hivyo umethibisha hakuna njia nyingine?

Vipi baba alioa bikra in this case mzee wa kutoa bikra?

Ulithibisha vipi ?

Hakuna njia nyingine ndio, wewe sijui kama unajua maana ya bikra.

Kuhusu Baba yangu yeye ndiye aliyeniambia na kunirithisha haya nisemayo.

Uthibitisho nimeupata nilipooa huyu mke wangu kipenzi, sio mke wa jamhuri kama walivyo hao maharage ya mbeya
 
Bikra haina mswahili, hata wazungu wanazo Budah.

Unataka uthibitisho kwenye lipi?

Kwanza unajua maana ya bikra?

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike
 
Hakuna njia nyingine ndio, wewe sijui kama unajua maana ya bikra.

Kuhusu Baba yangu yeye ndiye aliyeniambia na kunirithisha haya nisemayo.

Uthibitisho nimeupata nilipooa huyu mke wangu kipenzi, sio mke wa jamhuri kama walivyo hao maharage ya mbeya

Kwamba baba yako alikuambia? Evidence.... hukuwepo duniani am I wrong?

How credible is you're response on this?
 
Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike

Unajua maana ya mwanamke bikra? naona naongea na mtu ambaye hajui hata kile anachojadili.

Mwanamke bikra ni mwanamke ambaye hajawahi kukutana kimwili(kingono), au kuingiliwa na mwanaume.
Unataka evidence ipi tena.

Ni sawa na usikie Virgin Land, yaani ardhi ambayo haijatumika kwenye kilimo, lakini huenda watu wakawa wanaitumia kama kusafiri ndani yake,wewe elimu yako ni ipi?

Hujui maana ya bikra?
 
Kwamba baba yako alikuambia? Evidence.... hukuwepo duniani am I wrong?

How credible is you're response on this?

Sikuwepo lakini yeye mthibitishaji alikuwepo

Kama mimi nitakavyo waambia watoto wangu wasioe malaya wasio na bikra kwani nimeoa mama yao akiwa bikra kabisa.

Ushauri huu kila mara nawashauri na vijana wengine hata mshikaji wako akija nitamuambia asikuoe wewe kama hakukuta yaliyomo hayakuwamo, hakukuta bikra
 
Jibu kama mwenyewe akili timamu

Swali ni hili πŸ‘‡

Umesema bikra hutolewa kwa ngono peke yake

Weka research kuthibitisha madai yako

Au weka any scientific literature ku- justify hoja yako

Usiwe mjinga.......

Tunataka kujifunza facts tuelimike
 
Wewe ndio huna akili, na pengine bikra zote zimeondoka hata ya ubongo.

Ushaambiwa mwanamke bikra ni yule ambaye hajakutana kimwili na mwanaume au hajafanya ngono hata sex machine. Unataka prove ipi nyingine?

Hujui maana ya bikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…