BABA BIKRA,Vp kwa wanawake ambao walibakwa na bikra zao kutolewa kibahati mbaya hao nao je vipi hawana haki ya kuolewa?,,au ambao wananyweshwa pombe na kujikuta wametolewa kutokana na kulewa na kutokujitambua(bikra za ukeni hapa naongelea)...
Hongera sana kwa kuwa muwazi Mkuu.
Natumaini na yeye amepata wasaa wa kukueleza yaliyomvutia toka kwako na ni mambo yapi ambayo hatayavumilia na kumsababisha akuache/aombe talaka.
Na wote tuitikie - Ameeen!!Dia future husband tafadhali usije ukaifahamu jamiiforum.
Wewe ni @chizimaarifaRafiki zangu chuoni nilikuwa nawaambia mimi kamwe siwezi kuoa mwanamke asiye na bikra wakawa wanasema nisiseme hivyo kwani siwezi kujua Mungu kapanga nini, nikawa nawajibu kuwa Mungu sio anayeoa bali mimi ndiye ninayeoa.
Kuna uzi huko alioa bikra na siku ya harusi akajulisha wazazi wa mke na waalikwa wote kua kamkuta mke na bikra.😱Ila huyu kaka hajawahi kuwaga na akili nyingine zaidi ya bikra
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna uzi huko alioa bikra na siku ya harusi akajulisha wazazi wa mke na waalikwa wote kua kamkuta mke na bikra.😱