Kwakwel mwanamke mlevi mimi hapanaa.Mwanamke anayekunywa pombe ni mpumbavu
Mwanamke anayejielewa kamwe hawezi gusa hata chupa ya pombe, mwanamke anayejijua thamani yake hawezi kunywa pombe
Oh so kama uoe bikra au siyo bikra wembe ni uleule ya nini kujitia ujuha wa kuandika kuhusu bikra 24/7?Unaongea kama mpumbavu Mkuu.
Mada haizungumzii imani yangu kwa mke wangu.
Actually mimi simuamini yeyote yule, ila nina upendo
Waliobakwa nao ni wapumbavu?,,hapo kwenye pombe namaanisha kunyweshwa kwa kuchanganyiwa au kwa kutokujua au kuwekea dawa za usingiz kwa namna flanMwanamke anayekunywa pombe ni mpumbavu
Mwanamke anayejielewa kamwe hawezi gusa hata chupa ya pombe, mwanamke anayejijua thamani yake hawezi kunywa pombe
Hapana nimemaanisha wewe ni Don Nalimison? Maana mnafanana kua na obssession na vitu.Sumu haionjwi
Mimi sio Don, ila kama ningezaliwa masikini ningejiua
Kumekuchaaa [emoji16]
Kwakwel kupanga ni kuchagua na fungu hilo sijawah kulielewa.Nikiwa chuo kuna manzi tulikoleana sana ila shida ikawa pombe.Kuna siku nimefika kwake aisee nikajua niko kwenye Depo ya Castle lite..chupa zimezagaa kama wale waokota makopo ..yan dah.Nilimpend sana ila ..Alafu ati huyo unamuita mke wako, na watoto wanamsalimia shikamoo mamaπππ
Umemsifia weee ukivyosema mchaga graph zote zimeshuka mateπ
Isitajwe Tena jmn!Chupa limeamka na chai, kabla sijasoma vipi haijatajwa bikira huko!
Hio tafiti imefanyikia wapi?Mkeo akiwa bikra akichepuka basi jua chanzo ni mwanaume
Mkeo ambaye ni mke wa jamii ambaye hukumkuta bikra hata umfanyie nini lazima atachepuka.
Ni hayo tuu.