Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ombi kwa mara ya pili.

Dear future husband usije ukaifahamu jamiiforums.

Huku mtaani kwetu kuna mama aliolewa na Bikra yake, uwa ananiambia D siijui mbo.o tofauti na ya baba Xx lakini huyu mwanaume sijui nimfanyie yapi atulie. Mume wake ni kicheche mbaya, skirt mpya isiingie mtaani anatupia ndoano. Hana heshima kwa mke wake hata kidogo.

Ona huyo kajitunza ila kaja kupata galasa, bikra ina heshima sawa lkn sio guarantee ya utulivu ndani ya ndoa. Sitaki kuamini kama kuna wake waliolewa bila bikra then sio waaminifu kwa ndoa zao. Hata hao mabikira siku wakishawishika wakaonja nje na kunogewa yatakuwa Yale yale tu.

Nikirepot kutokea pande za kaskazini ni mimi mjumbe kutokea chama cha wanawake un'virgin πŸ˜€πŸ˜€ Tunakwambia hivi utulivu tunao kwenye mahusiano yetu, imagine aliyenibikiri ameshatangulia mbele ya haki nabaki vipi sasa huku duniani? Unataka tuishi maisha ya kijane kama wahindi? Hii tamaduni kwetu huku haipo ni lazima tu nitakuwa na mahusiano mengine.

Nimeandika sana. Lol
 
UMEANDIKA KUWA MWANAMKE ALIYEZAA NI GARI CHAKAVU, JE MAMA YAKO MZAZI NI AMECHAKAA?
 
Nani akupangje maisha...ishi utakavyo
 
Kila mtu aoe amtakae...Kama Ni single mother umependea uzuri..Sawa..

Kama.ana bikra na ndoa sababu OA..
.Kama mwanamke umependea Sura mbaya kwamba hatotongozwa oA.

Kama umependea Wezere tabia mtarekebishana
Huo mstari wa mwisho umenikosha sana[emoji38]
 
KWA SABABU UWEZO WAKO WA KIAKILI WA KUMKABILI MWANAMKE MWENYE EXPERIENCE NI MDOGO HAKUNA NAMNA, WE NENDA KAFUATE WANAFUNZI WALIOFIRWA
 
Reactions: Luv
Wewe wakujisifu. Umeoa mke bikra...umeoa mke tajiri..masikini Sio wa kuoa...ungezaliwa masikini ungejiua....umetokea kabila kuubwa...mke wako doctor...mke wako mzuri..mke wako anatako...mrefu Wanawake WENGINE viandunje...mtoto wako Ana Miaka 5...

Kukandia mawazo yawengine na kuamini...Kama mtu hajapita njia yako Basi amepotea Sana...


Haya Sasa uanzishe kanisa TU VIGEZO VYA KINABII UNAVYO
 

Wewe ulitaka kusemaje sasa?

Waovu hujisifu kwa mabaya,
na wema hujisifu kwa wema

Ulitaka nijisifu kuwa nimeoa malaya sivyo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hujashauri tunaruka vipi kiunzi Cha bikra za madawa ya kichina... KE anaweza kuwa na watoto kadhaa akatumia dawa kurejesha bikra, ukakuta kitu sildi πŸ™„
 
Wewe ulitaka kusemaje sasa?

Waovu hujisifu kwa mabaya,
na wema hujisifu kwa wema

Ulitaka nijisifu kuwa nimeoa malaya sivyo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...nimesema ishi utakavyo...na Kama kukisifia jisifie.. kwani unahaki zote..

Tena ungeanzisha kanisa ili ujisifu viZuri ...na watu wajifunze uwe Kiigizo chema
 
[emoji2][emoji2]mkuu Kama aliekubikir ametangulia mbele ya haki hii haimanishi kua wewe ni mjane labda Kama mlioana hapo sawa.

Mleta mada anachotaka ni bikra na sio sababu za wewe kutokua nayo..

Pole kwa kumpoteza aliekutoa bikra yako mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…