Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Singo maza wanakuja kukuralua mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UMEANDIKA KUWA MWANAMKE ALIYEZAA NI GARI CHAKAVU, JE MAMA YAKO MZAZI NI AMECHAKAA?Wakuu habari zenu.
Mimi ni mfuasi wa wanawake walioolewa bikra, na wanawake wenye bikra mpaka hivi leo. Nina sababu zangu nyeti za kuwapenda na kuwapigia chapuo wanawake hao, pia nawashauri vijana waodgo na wakubwa ambao mpaka sasa hamjaoa, Basi oeni wanawake wenye bikra. Usije ukajichanganya wala ukalaghaiwa na maneno ya wanawake malaya. Biblia inasema; Mwanamke malaya midomo yake yadondoza asali. Yaani wana maneno matatu ya kukurubuni, nawe kwa ujinga na ushamba unaingia mkenge. Usikubali.
Sasa nije kwenye mada yetu ya Single mothers ni sikio la kufa.
Kwanza nianze kwa kusema 95% ya single Mother ni sikio la kufa, vichomi, viungulizi, na wauaji. 5% Wapo vizuri, tena kwenye hiyo 5% 3% ni wale waliofiwa na waume zao au waliowazalisha. 2% ndio ambao ni singele mother waliotalakiana na waume zao au waliowazalisha na wakawa na tabia njema. Kwa waliosoma Hesabu za probability mtaungana na mimi kuwa hakuna uwezekano wa kumuoa single mother mzuri na kama uwezekano upo basi ni mdogo.
Usumbufu wa Single mother unaanzia hapa
1. Mtoto wake ndio kipaombele.
Single mother wote duniani 95% watoto wao waliokuletea ndio kipaombele namba moja, yeye namba mbili, wazazi wake namba tatu, kisha wewe ndio unashika namba nne. Single mother wengi 95% wanataka wewe usiye baba wa mtoto ubebe jukumu lisilokuhusu, Yaani umlee mtoto wa mwanaume mwingine, na usipofanya hivyo utaingia kwenye uhasama, migogoro, vita, na ikiwezekana kukudhuru kisaikolojia. Wao humtumia mtoto kama kinga na uthibitisho wa mapenzi yako kwao. Jambo ambalo wanaume wengi 90% hatuwezi.
Kumbuka mtoto huyu huyu baadaye anaweza kuwa kitanzi kwako.
2. MAHUSIANO NA MZAZI MWENZAKE
Kisheria na kimila huwezi vunja mahusiano ya Mke wako aliye-single mother na mzazi mwenzake, hiyo haiwezekani. Itawezekana tuu endapo Mwanaume(?huyo mzazi mwenza) hatakuwa na habari naye. Yaani kaamua kumtelekeza. Itawezakana kama mzazi mwenzake amekufa, Pia, itawezekana endapo uchumi wako ni mkubwa mara mia moja ya mzazi aliyemzalisha. Vinginevyo utaambulia maumivu. Mwanzoni ataonyesha kujificha lakini kadiri siku zinavyoenda ataanza kukujibu kuwa huyo ni mzazi mwenzake hawajadili mapenzi bali wanajadili masuala ya mtoto.
Wanaumr erngi 90% hatupo tayari kuona majadiliano yoyote yale, yawe ya mtoto, sijui ya nini baina ya wake tuliowaoa na wanaume wengine hasa waliowahi kuwa kimapenzi na wake zetu.
3. KUTIMIZA RATIBA
Single mother wengi huolewa ili kutimiza ratiba na sio mapenzi ya kweli. Wengi ni vichomi, vigagula, tena upate wale wenye umri kuanzia miaka 30 wengi 90% washanusa kwenye milango ya waganga wa kienyeji kama sio kununua uchawi kabisa, Wengi wana chale miilini mwao. Usishangae kukuta chale kwenye makalio, katikati ya maziwa, juu ya kiuno n.k.
Hawana Munkari wa ndoa, ukifika nyumbani wanakereka, wao hupenda kuishi wenyewe na watoto wao.
4. WENGI HUSUBIRI WATOTO WAKUE
Single mother wengi hujifanya wavumilivu, huvumilia uwepo wa waume zao ndani ya nyumba japo hawapendi ukiwepo nyumbani. Hufanya hivi wakisubiria watoto wakue kue mpaka miaka 20 walau, tena husubiri mtoto akimaliza chuo na kupata kazi na hapo ndipo utaonja joto ya jiwe. Ujeuri unaanza, kiburi, dharau, na umalaya unapamba moto, wanajua huwezi kuwafanya chochote, ukiwazingua wanakimbia kwa watoto wao maana tayari wanakazi, tena usiombe mtoto wa nje ndio akawa na mafanikio mbona utaisoma namba.
Wengi wakifika muda huu hudai talaka kivyovyote. Huwababaishi.
90% ya single mother wapo kimaslahi, hawana mapenzi ya kweli kwa waume zao. Wanachokifanya ni kuwarubuni ili wapate pakuishi na kusubiri mtoto wake wa nje akue. Akishakua hana wasiwasi watoto wako anajua anauwezo wa kukuachia hapo akaondoka kwani hutaweza kuwafukuza.
Unapooa single mother usifikirie tuu habari ya mzazi mwenzake bali fikiria hata kipindi cha uzee wako. Single mother wengi 90% husumbua uzeeni hasa watoto wakishakuwa na maisha fulani ya kujitegemea.
Nimalize kwa kushauri;
Usioe mwanamke asiye na bikra. Usioe mwanamke ambaye ni masikini. Hutaki acha hakuna anayekulazimisha. Single mother 95% ni sumu. na sumu haionjwi
Nawasilisha
Nani akupangje maisha...ishi utakavyoBinti zako kama hawana bikra nani ataoa labda fisi maji kama Baba yao.
Mimi niliapa nitaoa mwanamke mwenye vigezo ninavyotaka sio kabila lake, hata hivyo kama kuna makabila yenye nguvu hapa Tanzania basi nami nimetoka katika moja ya makabila hayo, so kiasili ninajiamini, na mtu wa kutawala popote kama tunavyotawala hapa Tanzania
Huo mstari wa mwisho umenikosha sana[emoji38]Kila mtu aoe amtakae...Kama Ni single mother umependea uzuri..Sawa..
Kama.ana bikra na ndoa sababu OA..
.Kama mwanamke umependea Sura mbaya kwamba hatotongozwa oA.
Kama umependea Wezere tabia mtarekebishana
KWA SABABU UWEZO WAKO WA KIAKILI WA KUMKABILI MWANAMKE MWENYE EXPERIENCE NI MDOGO HAKUNA NAMNA, WE NENDA KAFUATE WANAFUNZI WALIOFIRWASema nini ...kuna ukweli mchungu sana hapa wengi hatutaki kuusikia wala kuambiwa...
Anyway single mothers walikuwepo , watakuwepo na wataendelea kuwepo... Cha msingi men wabadilike ... Haikwepeki wanaume hapa lawama katika chanzo cha ma single mothers [emoji53]
Wewe wakujisifu. Umeoa mke bikra...umeoa mke tajiri..masikini Sio wa kuoa...ungezaliwa masikini ungejiua....umetokea kabila kuubwa...mke wako doctor...mke wako mzuri..mke wako anatako...mrefu Wanawake WENGINE viandunje...mtoto wako Ana Miaka 5...
Kukandia mawazo yawengine na kuamini...Kama mtu hajapita njia yako Basi amepotea Sana...
Haya Sasa uanzishe kanisa TU VIGEZO VYA KINABII UNAVYO
Hujashauri tunaruka vipi kiunzi Cha bikra za madawa ya kichina... KE anaweza kuwa na watoto kadhaa akatumia dawa kurejesha bikra, ukakuta kitu sildi 🙄Wakuu habari!
Jambo hili nimelivalia njuga na naona matunda yake yanaanza kuonekana, nafikiri nikiendelea hivi kwa mfululizo wa miaka mitano kwa kiasi kikubwa jamii itarudi kwenye mstari.
Moja ya matokeo chanya katika nyuzi zangu za ubikra ni kuwa wale walioolewa bila ya bikra na wale ambao bado hawajaolewa na hawana bikra wanapiga kelele wakitapa tapa, wengi wamekuja Pm wakiniomba niache. Ujumbe wangu ni huu; Asiyefunzwa na Mama yake hufunzwa na ulimwengu. Mandhali Jokajeusi nipo mada hizi zitaendelea mpaka nitakapoondoka duniani. Hivyo wale wanaaoumia nawapa pole kwa sababu huu ni mwanzo tuu.
Madhara ya Makuu ya kuoa mwanamke asiye na bikra, Kijana usiyeoa soma kwa umakini ukitumia akili zaidi ya hisia zako.
1. MTALAKA HATONGOZWI
Kabla hujaoa mwanamke asiye na bikra kaa ukijua kabisa mtalaka hatongozwi, popote pale duniani. Pia kumbuka awali ni awali hakuna awali mbovu. Pia kumbuka, Mavi ya kale hayanuki. Hivyo mwanamke anapokuwa tayari alishakuwa kwenye mahusiano na wanaume huko nyuma ya kimapenzi kisha wakaachana kwa sababu abc kisha wewe ukampata akakuambia ameachana na ma-ex wake jua kuwa anakudanganya, kuachana labda kama wamekufa lakini kama wapo hai hesabu umeumia ndugu yangu.
Nina ushahidi usio na shaka kuhusu jambo hili na hata humu JF kila siku tunasikia malalamiko ya wanawake kurudiana na ma-ex wao au kufumaniwa nao. Hiyo ni kawaida sana, na mara zote mimi siwalaumu wanawake kwa kufanya hivyo kwani hiyo ndio asili. Mtalaka hatongozwi.
Usipokubali maneno yangu na ukashindwa kujifunza kwa yanayotokea kwa wenzako basi subiri wewe ndio uwe funzo na mfano kama walivyo wabishi wengine.
2. KUBAMBIKIZIWA MIMBA
Wanawake wengi wasio na bikra wamewaingiza wanaume katika magonjwa makuu kwa kuwabambikizia watoto wasio wao. Hata ule utafiti usemao kuwa 60% ya wanaume wanalea watoto wasio wao unalandana(correlation) na idadi ya wanaume waliooa wanawake wasio na bikra.
Kuna uwezekano wa kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba changa ikiwa tuu ulimkuta hana bikra, mifano ipo ya kutosha hata huku mitaani achilia mbali watu maarufu kama vile Muna Love na Casto Dickson Vs Baba patrick, Mama Diamond na Babab Ricardo Vs Mzee Abdul, na wanawake kukubambikizia mtoto hawaoni shida kwa sababu tayari wameshakuona wewe ni maandazi, tayari umejidharau, yaani uache kuoa mtoto mbichi uchukue used alafu wakuheshimu. Hiyo hakuna mwanamke wa hivyo.
Usijedhani ukimuoa mwanamke asiye na bikra na single mother ataona umemuonea huruma kwa kumsitiri, yeye atakachojua kuwa uzuri wake ndio sababu umedata naye, hivyo suala la kuonewa huruma hilo sahau, na ndio maana wao wakifanya matukio yao kwako wala hawatakujali kuwa uliwastiri. Nafikiri mifano mnayo hata huko mitaani.
Hivyo kuoa mwanamke asiye na bikra kuna uwezekano mkubwa wa kubambikiziwa mtoto achilia mbali kuchetiwa ambapo ni costant
3. WATOTO KUWA NA TABIA ZA AJABU AJABU
Ukioa mwanamke asiye na bikra na malaya, sio ajabu watoto wako wakawa na vitabia vya ajabu ajabu yaani mchanganyiko kulingana na idadi ya wanaume waliolala na mke wako. Angalia wanawake wengi ambao ni malaya kisha angalia tabia za watoto waliowazaa. Watoto wamenajisiwa. Mtoto akipimwa DNA ni wakwako lakini tabia zipo mbali sana na wewe na ukoo wenu na ukoo wa mama yake. Hii ni kutokana na kuwa mwanamke anapolala na wanaume tofauti tofauti hujinajisi na kujipa maroho machafu kwani tendo lenyewe ni chafu.
Kama unabisha jaribu sumu kwa kuonja. Waliooa wananielewa zaidi kwani wanayaona hayo kwa macho yao.
4. WATOTO KUUNGANA NA MAMA YAO.
Ukioa mwanamke asiye na bikra ni rahisi sana kwa watoto kumsikiliza Mama kuliko kukusikiliza wewe Baba, au ni rahisi sana kwa watoto wako kumsikiiza Baba mwingine kuliko kukusikiliza wewe. Hii ni kutokana na kuwa tayari wewe sio namba moja, wewe sio kichwa tena bali mkia. Unapoambiwa Baba ni kichwa cha nyumba wanamaanisha Namba moja, yaani Baba ndio mwenye maamuzi, mwanzo, na ndio maana popote pale kichwa ndio hutangulia, sasa kama kwa mkeo hukutangulia kumjua unafikiri utakuwaje kichwa kwake au namba moja kwake. Wakati mwingine wapo wanawake wachache wema wanaojitahidi kuwa wema licha ya kuolewa bila ya bikra lakini bado nature inawavuta kufanya mabaya.
Zamani Baba alikuwa ndio nguzo ya familia kwa sababu nyingi mno, watoto walikuwa wanamsikiliza Baba, hii ni kutokana na kuwa wamama wengi waliolewa wakiwa na bikra. Lakini tangu wanawake waanze kuolewa bila bikra siku hizi Baba sio lolote tena, na ndio maana ongezeko la watoto wasemao nani kama Mama ni kubwa, na sababu nimeshaieleza.
Kama unabisha jaribu sumu uone.
Baba kama unataka heshima sikiliza ninachokuambia, ukijifanya unajua na unaheshimiwa kisa sasa unanguvu subiri miaka 60 huko utakumbuka maneno ya Jokajeusi.
5. KUOA MAMA WA WAFU
Kuoa mwanamke asiye na bikra kunaweza kupelekea kuoa mama wa wafu, unaoa mwanamke aliyetoa mimba nyingi nawe huwezi kulijua hilo na huna uhakika, Lakini ukioa mwanamke bikra unaoa mke unayejua ni msafi na aliyejitunza. Tayari unaoa mwanamke ambaye anakesi ya mauaji na laana ambayo huijui, ni bora ungekuwa unaijua hii itakusaidia kumlilia Mungu amsamehe na awasamehe, jambo moja la kuzingatia ni kuwa kuomba msamaha kwa makosa makubwa hakuombwi kwa kusema tusamehe makosa yetu, hiyo ni sala ya jumla ambayo watu huomba wakiwa kwenye halaiki, Jokajeusi nashauri, mwanamke kama umetoa mimba ni vyema umjulishe mumeo mtarajiwa ili muweke mambo sawa, sio umuingize Mwanaume wa watu kwenye mikosi na mabalaa bila ya yeye kujua.
6. MWANAMKE ASIYE NA BIKRA SIO MKEO BALI MSHIRIKA.
Kuna tofauti kubwa kati ya mke na mshirika wa maisha. Mke ni sehemu yako yaani ni ubavu wako, mshirika sio sehemu yako bali mmeamua kushirikiana katika maisha. Mke hukupenda wewe na familia yenu, naye ni sehemu ya ukoo wenu. Lakini mshirika sio sehemu ya ukoo wenu kwanza huwaza kuwapa faida wazazi wake zaidi. Siku hizi wanaume wengi wanaoa wanawake wasio na bikra na ndio maana hao washirika wao hupendelea makwao kwani sio mwili mmoja na waume zao. Mwanaume mwenye mke anaouwezo wa kumwambia mke wake kuwa asienda kwenye msiba hata wa mama yake(mama wa mke) na mke wake akamtii, lakini mwanaume aliyeoa mshirika wa maisha hana uwezo wa kumzuia mshirika wake asiende kwenye msiba wa mama yake(mama wa mshirika).
Kwa kifupi mume anakuwa anamamlaka kwa mke wake na sio kwa mshirika. Kumbuka mshirika ni mwanamke aliyeolewa bila ya bikra, na bikra aliiotoa kwa makusudi kabisa.
Mke ukishamuoa hawazi tena nyumbani alipozaliwa mpaka mume mwenyewe umkumbushe kwamba aende kusalimia, lakini mshirika kwa mwaka huenda nyumbani mara mbili mpaka mara tatu.
Hapa hoja kubwa ni kuwa huwezi mtawala mwanamke ambaye sio mkeo, mkeo lazima akusikilize kwa chochote kile Lakini ukiona mwanamke unayeishi naye hakusikilizi jua sababu ni hiyo hapo juu, hukuoa akiwa bikra.
Waliooa wananielewa, sumu aionjwi
7. UMILIKI
Ukioa mwanamke asiye na bikra, cha mwanaume ni cha wote na cha mwanamke ni chake mwenyewe. Watu wanasema wanawake ni wabinafsi, mimi nawaambiaga kuwa mwanamke sio mbinafsi mpaka pale atakapoolewa bila ya kuwa na bikra. Wanawake wengi walioolewa bila bikra ni wabinafsi kupitiliza. Hii ni tofauti na mwanamke aliyeolewa na bikra yake, ambaye chake ni cha wote na cha kwako ni chawote. Mkeo(aliyeolewa bikra) anajua kuwa yeye ni mali yako na kila kitu anachomiliki yeye. Mkeo yaani uliyemuoa bikra anapenda umlinde yaani umchunge kwani anajua yeye ni malkia, yeye ni wathamani, lakini mwanamke ambaye hajaolewa akiwa na bikra hapendi umchunge, umlinde wala kumfuatilia, wana msemo wao wanasema mwanamke hachungwi, msemo huo sio wa mke bali mshirika. Hata humu JF wapo na wanajijua.
Mkeo uliyemuoa bikra hata watoto atakuambia watoto wako wanasumbua, au wanashida abc, au hata ukiwaadhibu atakuambia utawaua wanao Mume wangu. Lakini ambaye hajaolewa bikra ni kawaida kusikia wakisema muache mwanangu.
8. SIRI YA MTOTO
Mwanaume ukishaoa mwanamke asiye na bikra basi jua siri ya mtoto niwa nani anaijua Huyo mshirika wako. Ndio maana siku hizi mpaka sheria zinatungwa kuwa Baba ni mlezi sio mzazi. Kwani wanawake wengi wameolewa wakiwa bikra.
Siku hizi ndoa ni ndoano kwa sababu wanaume wengi wanaoa wanawake wasio na bikra. Mpaka wengine wanaogopa na kuiona ndoa haina maana.
Lakini ndoa ni sehemu tamu,yenye raha ikiwa utaoa mwanamke mwenye bikra. Vijana ndoa ni tamu kama utapata mke wako na sio mshirika wako.
Nitaendelea kuwafunza vijana hivi hivi mpaka wenye akili watakaponielewa.
Jokajeusi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...nimesema ishi utakavyo...na Kama kukisifia jisifie.. kwani unahaki zote..Wewe ulitaka kusemaje sasa?
Waovu hujisifu kwa mabaya,
na wema hujisifu kwa wema
Ulitaka nijisifu kuwa nimeoa malaya sivyo 😀 😀 😀
[emoji2][emoji2]mkuu Kama aliekubikir ametangulia mbele ya haki hii haimanishi kua wewe ni mjane labda Kama mlioana hapo sawa.Ombi kwa mara ya pili.
Dear future husband usije ukaifahamu jamiiforums.
Huku mtaani kwetu kuna mama aliolewa na Bikra yake, uwa ananiambia D siijui mbo.o tofauti na ya baba Xx lakini huyu mwanaume sijui nimfanyie yapi atulie. Mume wake ni kicheche mbaya, skirt mpya isiingie mtaani anatupia ndoano. Hana heshima kwa mke wake hata kidogo.
Ona huyo kajitunza ila kaja kupata galasa, bikra ina heshima sawa lkn sio guarantee ya utulivu ndani ya ndoa. Sitaki kuamini kama kuna wake waliolewa bila bikra then sio waaminifu kwa ndoa zao. Hata hao mabikira siku wakishawishika wakaonja nje na kunogewa yatakuwa Yale yale tu.
Nikirepot kutokea pande za kaskazini ni mimi mjumbe kutokea chama cha wanawake un'virgin [emoji3][emoji3] Tunakwambia hivi utulivu tunao kwenye mahusiano yetu, imagine aliyenibikiri ameshatangulia mbele ya haki nabaki vipi sasa huku duniani? Unataka tuishi maisha ya kijane kama wahindi? Hii tamaduni kwetu huku haipo ni lazima tu nitakuwa na mahusiano mengine.
Nimeandika sana. Lol