Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kweli hili nalo ni muhimu sana kujua

Nimeshajibu hapo juu.

Wanawake wakijitunza Automatic wanaume hawawezi kutoka au kuwa waasherati.

Mwanaume hayupo kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke ndiye yupo kwa ajili ya mwanaume.

Yaani mwanaume ni independent Variable wakati mwanamke ni dependent variable. Wasomi wanajua nazungumzia nini hapa
 

Wanaume hawalalamiki kuwa hawafikishwi lakini mnalalamika kuwa mmeichoka papuchi si ndio? na kwamba hamuwezi kuridhika na mwanamke mmoja , na tuwazoee sababu mtachepuka tu, si ndio? Sasa kama mwanamke nijitunze kwa ajili yako ili iweje ?
Mnapenda sifa za kuwa wa kwanza kuzibua mwanamke lakini hamumpi huyo mwanamke heshima yake, hamjitunzi, so kwanini tuendelee kuwapa heshima msizostahili?

Mambo ya ubikra ni nyie wanaume mnaopush kila siku lakini sisikii wanawake wakipush sana sababu it's not worth it.
 
Mkuu

Gender yangu ni ME....sasa unaongelea mimi kua na bikra,inaonesha hata hujui unachoandika

Ushachanganyikiwa tayari,usha lose track ya watu unao chat nao

Maajabu haya

Kama ungekuwa mwanaume usingeandika hayo. Huenda ukawa na cover ya kiume(jinsia ya kiume) lakini ndani una ID YA KIKE.
 

Papuchi bikra haichoshi mkuu,
Hizi zilizotumika ndio zinachosha, hiyo ipo hivyo mkuu.
Wewe uke utumike na kila mtu kwa nini usichoshe?
 

Umeongea ukweli kabisa Mkuu
 

Sidhihaki bali nasema ukweli ili wasiooa wajifunze, wasitumbukie kwenye shimo la makahaba
 
Bikra inafaida gani sanasana mapenzi hajui

Sema ufundishwe maana naona elimu yako ni ndogo kuhusu mahusiano

Soma hapa
 
wagalilaya mpo? mnakubaliana na jamaa kumvua binti nguo kabla ya ndoa takatifu na kuidhalilisha familia? Tupia basi ka audio ulivyokuwa unaongea, tuone kama umefika top levo yetu wale tulio zitindua baada ya sacrament.

Kwamba unabisha ama?
 
Hebu tuachane na mkeo ....jisifie na Wewe jinsi ulivyo mume Bora kwa huyo mkeo..

Maadamu unajifu tiririka..sasa

Mume ni kichwa cha familia hiyo ndio sifa yangu kuu.

Mimi ni namba moja, kiongozi wa familia yangu na ndio maana sikutaka kuwa wapili au watatu kwa mke wangu.
 
Binti huyo haukumuoa akiwa bikra kwakua ni wewe mwenyewe ulimbikiri kabla hajaolewa. Yangu ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…