Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kweli hili nalo ni muhimu sana kujua

Nimeshajibu hapo juu.

Wanawake wakijitunza Automatic wanaume hawawezi kutoka au kuwa waasherati.

Mwanaume hayupo kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke ndiye yupo kwa ajili ya mwanaume.

Yaani mwanaume ni independent Variable wakati mwanamke ni dependent variable. Wasomi wanajua nazungumzia nini hapa
 
Ile bikra Mungu aliiweka makusudi alijua wanaume wana maumbile tofaut sasa ww umeenda na mwenye kenta, mara basi mara katapira, sasa ukiikuta haisi c utaona haina mzuka???? Mnaenda mbali zaid had mnatumia tango?? Jiulize kipind unayo hiyo bikra kidole chako kilikuwa na uwezo wa kuingia hapo? Kama no jiulize kuna mwanaume ambaye ana hati miliki mfano wa kidole? Hapo ndipo kosa lilipo.
Haya madhara. Ni nani muolewaji? Anayeolewa ndiye mwenye kuathirika negatively, koz muoaji akisema kama huna bikra sikuoi, je utajioa????. Pili umewahi kusikia mwanamume analalamika et mke wake hamfikishi kilimanjaro???? Mkuu waelimisheni tu wadg zenu au watot wenu watunze hizo tunu, na kama muda wa kuzitoa umefika bc wazitoe mahali salama.


2be renewed 🤐

Wanaume hawalalamiki kuwa hawafikishwi lakini mnalalamika kuwa mmeichoka papuchi si ndio? na kwamba hamuwezi kuridhika na mwanamke mmoja , na tuwazoee sababu mtachepuka tu, si ndio? Sasa kama mwanamke nijitunze kwa ajili yako ili iweje ?
Mnapenda sifa za kuwa wa kwanza kuzibua mwanamke lakini hamumpi huyo mwanamke heshima yake, hamjitunzi, so kwanini tuendelee kuwapa heshima msizostahili?

Mambo ya ubikra ni nyie wanaume mnaopush kila siku lakini sisikii wanawake wakipush sana sababu it's not worth it.
 
Mkuu

Gender yangu ni ME....sasa unaongelea mimi kua na bikra,inaonesha hata hujui unachoandika

Ushachanganyikiwa tayari,usha lose track ya watu unao chat nao

Maajabu haya

Kama ungekuwa mwanaume usingeandika hayo. Huenda ukawa na cover ya kiume(jinsia ya kiume) lakini ndani una ID YA KIKE.
 
Wanaume hawalalamiki kuwa hawafikishwi lakini mnalalamika kuwa mmeichoka papuchi si ndio? na kwamba hamuwezi kuridhika na mwanamke mmoja , na tuwazoee sababu mtachepuka tu, si ndio? Sasa kama mwanamke nijitunze kwa ajili yako ili iweje ?
Mnapenda sifa za kuwa wa kwanza kuzibua mwanamke lakini hamumpi huyo mwanamke heshima yake, hamjitunzi, so kwanini tuendelee kuwapa heshima msizostahili?

Mambo ya ubikra ni nyie wanaume mnaopush kila siku lakini sisikii wanawake wakipush sana sababu it's not worth it.

Papuchi bikra haichoshi mkuu,
Hizi zilizotumika ndio zinachosha, hiyo ipo hivyo mkuu.
Wewe uke utumike na kila mtu kwa nini usichoshe?
 
Ni wanaume wachache wanaweza kuwa na tabia ya et kuchoka papuch!!!! Nooo ka ndo hivo bc wanaume wote wangekuwa malaya, mwanaume aliyemkuta mke wake ana tunu yake na heshima yake, kamwe hawez kucheat mana nafs itakuwa inamsuta. Labda ukute huyo mwanaume hiyo ndo tabia yake, hapo huwez kupangua kamwee lbd uloge

Umeongea ukweli kabisa Mkuu
 
katika maisha unatakiwa kujifunza kushukuru kile ulichopata, lkn kamwe usidhiaki kile alichopata au kukosa mwingine maana wote hatujui siku wala saa. Upendo kwenu wanawake na mabinti wote mnaojieshimu na wenye utii, haijalishi 'mliteleza' au 'hamkuteleza' katika maisha yenu.

Sidhihaki bali nasema ukweli ili wasiooa wajifunze, wasitumbukie kwenye shimo la makahaba
 
Bikra inafaida gani sanasana mapenzi hajui

Sema ufundishwe maana naona elimu yako ni ndogo kuhusu mahusiano

Soma hapa
 
wagalilaya mpo? mnakubaliana na jamaa kumvua binti nguo kabla ya ndoa takatifu na kuidhalilisha familia? Tupia basi ka audio ulivyokuwa unaongea, tuone kama umefika top levo yetu wale tulio zitindua baada ya sacrament.

Kwamba unabisha ama?
 
Hebu tuachane na mkeo ....jisifie na Wewe jinsi ulivyo mume Bora kwa huyo mkeo..

Maadamu unajifu tiririka..sasa

Mume ni kichwa cha familia hiyo ndio sifa yangu kuu.

Mimi ni namba moja, kiongozi wa familia yangu na ndio maana sikutaka kuwa wapili au watatu kwa mke wangu.
 
Back
Top Bottom