Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Unataka kusema ningetoa somo hili kwa njia ya picha ndio ingeeleweka vizuri?
Kwa hizi picha nimeamini kweli Bikra kumbe bado zipo, jamii husika inanafasi ya kutunza maadili ya vizazi vyake.

Yule mkubwa wa kule Botswana anatushinda kwa kuzichakata. Wanajitahidi sana kuzitunza.
 
Unataka kusema Hadi dada zako ,mashangazi zako na ndugu zako wengine wote waliopewa na bikra?
Rejea mada zangu za nyuma.

Nilishaeleza hapa kuwa hata awe nani kama hajaolewa na bikra ni malaya, hivyo sioni umuhimu wa swali lako na nafikiri hata wewe umeona hivi
 

Mtu anadhalilishwa kwa matendo yake, hata awe mama yangu au mama yako kama hakuolewa na bikra ni malaya tuu huo ndio ukweli.

Wewe kama unaona mimi nina matatizo ya akili, sawa wewe huna hayo matatizo na bado unaoa kitu used wakati vipya vipo wewe ndio mjanja
 
MANENO KUNTU HAYA KABISA
 

Hakuna aliyekataa wewe ni mwanaume lakini ni kwa nje ila kwa ndani wewe ni jike.

Soma hapa ukipinga na hapa bado uniambie wewe sio jike kwa ndani, sawa

Soma hapa >>> Somo Maalumu La Bikra; Nimejibu maswali ya wengi sasa

Utajigundua vizuri kuwa wewe ni dume au jike
 
Umefafanua vizuri kwa weledi wa hali ya juu. Ni ukweli! Wanawake nawauliza aliyefungua njia kwa nini asikuoe? Uliacha wooooote ukamwamini yeye! Akasepa! Ni uuuuungwana?
 
Umefafanua vizuri kwa weledi wa hali ya juu. Ni ukweli! Wanawake nawauliza aliyefungua njia kwa nini asikuoe? Uliacha wooooote ukamwamini yeye! Akasepa! Ni uuuuungwana?

Watakuambia samehe saba mara sabini hahahaa
 
Nina wapenzi wawili wote ni bikra. Huyu mmoja tupo naye mwaka wa 3 hajawai nielewa kuhusu kunipa tunda na huyu mwingine ninaye kwa miezi minne now kila nikimwambia aje anasema hawezi kuja, kama nampenda nimsubiri hadi nimuoe. Na kuolewa hataki eti muda bado.

Na wote wapo Chuo Mwaka wa Kwanza, kiukweli nashindwa kuenjoy nao, na kuwaacha hivi hivi siwezi. Kiufupi wadada mabikra ni wasumbufu sana hata jinsi ya kuwapata, uwage tu mvumilivu, nawawazia sana sijui niende na njia ipi now
 
Kwa Agano Jipya la sasa bado mimi naona unajisi si kitu cha kutisha.
Na mwanamke kufanywa kahaba kwa kuvunjwa Bikira yake kabla ya Ndoa bado si kitu cha kutisha, kwani Tunae Yesu Kristo.. ambaye huwapa wamwaminio Pendo lake na kutufanya kuwa wapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…