MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
we ni Muislamu au mkristo?
Kahaba nae akiomba Mungu ampatie Mume, Mungu humpa.Namtafuta ALMAH lakini hapatikani
Miaka mitatu upo naye hajakuelewa, unaita ni mpenzi wako!!
Mpenzi Ni Nani? Kwani
Mpenzi ni mpenzi mtazamaji![emoji276]
nalo neno .mmhhhh naomba huyo mke uje ulete picha yake hapa ili na dadaz waliotoa bikra zao kabla wajilinganishe uzuri wao na thamani ya bikra zao
Mnamsingizia Yesu wa watu bureKwa Agano Jipya la sasa bado mimi naona unajisi si kitu cha kutisha.
Na mwanamke kufanywa kahaba kwa kuvunjwa Bikira yake kabla ya Ndoa bado si kitu cha kutisha, kwani Tunae Yesu Kristo.. ambaye huwapa wamwaminio Pendo lake na kutufanya kuwa wapya.
Habari za Yesu unazo au unadandia tu gari kwa Mbele.Mnamsingizia Yesu wa watu bure
we bwana,,, badala uwashauri wafunge zipu zao unakomaa na bkra ya mwanamke kwani zinajikongoroaga zenyewe.