Huyo Bibie hapo nimeshamzoea hata humu wanamjua alishachanganywa siku nyingi embu soma huku ndio utajua betri zake zilipiga shot
Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. Ni suala litakalo iweka...www.jamiiforums.com
Tunatofautina Maandiko...Ngoja nikumbe andiko linalosema kuwa mwanamke kama hajakutwa na bikra mwanaume anayohaki/anaweza kumuacha kwa talaka/
Soma uzi huu pia >>> Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako
Kumbukumbu la torati 22:
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
19 wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Wewe ni mwanamke mapepe hivyo hakuna anayeshangaa unayokoment humu. so kuwa huru kutoa maoni yako, hivyo ndivyo ulivyo
Tunatofautina Maandiko...
Lakini kuhusu talaka.. mwanaume akiamua kuacha...Naweza acha hata kwa sababu umeunguza Maharage...Talaka Ni ya mwanaume yeye ndo anaeacha
Kwaiyo Kama akiamua kukuacha kwa kwakua Huna Bikra...hiyo Ni sawa...
Ina Maana hakuzini nawe kabla...ina Maana alikua kuwa unabikra na ikawa Sio..
Sawa....ujue dhambi SI Malaya tu..siku mtoto akiamua kukutukana kwa mapungufu yako...Uvumilie tyKama itapaswa kusema ukweli unafikiri nitashindwa kusema ikiwa ni kweli Mama atakuwa ni malaya?
Shetani anatabia ya unafiki, sasa kama unashindwa kusema jambo dogo kama hilo kipi unaweza?
Au kazi kuwasonda vidole wamama wa wengine
hata wewe ni mzinifu,halafu uko fake sana,huendani na reality at all hio moja, na hauko real hio mbili, inaelekea unaweza kufanya lolote just to be noticed, huyo mkeo ana kazi kubeba mwanaume furushi kama wewe
Wapi nimesema hujui kingereza wewe mwanamke? Yaani umechanganyikiwa kiasi hiki.
Nimesema kingereza chako ni cha Charlie chaplin
Hakuna jambo baya kama kunajisiwa na kunajisi maisha ya kijana wa watu, na kizazi kwa ujumla
Sawa....ujue dhambi SI Malaya tu..siku mtoto akiamua kukutukana kwa mapungufu yako...Uvumilie ty
Mkuuu..Talaka Ni ya mwanaume...anaweza kukuacha kwa sababu yoyote ile...au bila sababu..Kishetani ni sawa lakini kimungu sababu ya kumuacha mkeo ni moja tuu ambayo ni uzinzi iwe alioufanya kabla yako(hukukuta bikra) au baada ya kumuoa na akachepuka.
Sababu nyingine ya talaka ni mkeo kama atakuwa mchawi au mshirikina. Asiyemcha Mungu. Lakini hizo sababu zingine sijui za kuunguza maharage ni porojo za masheikh ubwabwa, hakuna quran ya hivyo. Labda zile hadithi za Maswaaba wa mtume ambao hadithi zao hata hivyo sio Quran bali maoni yao tuu
Hata kiwe changu au cha nani, kunajisiwa ni kubaya asee!
Wewe unakichwa ngumu sana.
Mkuuu..Talaka Ni ya mwanaume...anaweza kukuacha kwa sababu yoyote ile...au bila sababu..
Ndo Maana wanaambiwa watumiee busara na wasichezee talaka..
Lakini mwanaume akisema umetoka boka ruhusa..Wewe SI mke Wangu Tena nakuacha...hiyo Ni talaka...
Mungu anasema sameaneni ...kwaiyo mkeo akichepuka ukiamua kumsamehe Unamsamehe......
Sema TU misimamo yetu ..Wewe unasema huwezi samehe kuchepuka kwa mkeo..
Lakini MUNGU ANASEMA SAMEANENI kwani hampendi Mimi niwasamehe
Hata ungekuwa na miaka 70, tunajua wajinga na malaya pia huzeeka, Ndio maana nimekuambia kuwa free tunatambua ulivyo
Kichwa changu sio kigumu,kinaenda with reality, tatizo ni kichwa chako..umeng'ang'ania kunajisiwa, kwani umemnajisi nani etii? funguka tukusaidie... sio kila siku unalia lia kuhusu ubikira..kumbe kuna fuse imekata kichwani mwako na hatukuelewi bureee...
Mtoto Joline kila uzi lazima nikukute inanikumbusha mtu fulani sana niliepotezana nae humu[emoji16]