Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Huyo Bibie hapo nimeshamzoea hata humu wanamjua alishachanganywa siku nyingi embu soma huku ndio utajua betri zake zilipiga shot

Eti ushanizoea, wee koma!
 
Ngoja nikumbe andiko linalosema kuwa mwanamke kama hajakutwa na bikra mwanaume anayohaki/anaweza kumuacha kwa talaka/

Soma uzi huu pia >>> Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako

Kumbukumbu la torati 22:
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
19 wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Tunatofautina Maandiko...

Lakini kuhusu talaka.. mwanaume akiamua kuacha...Naweza acha hata kwa sababu umeunguza Maharage...Talaka Ni ya mwanaume yeye ndo anaeacha

Kwaiyo Kama akiamua kukuacha kwa kwakua Huna Bikra...hiyo Ni sawa...
Ina Maana hakuzini nawe kabla...ina Maana alikua kuwa unabikra na ikawa Sio..
 
Wewe ni mwanamke mapepe hivyo hakuna anayeshangaa unayokoment humu. so kuwa huru kutoa maoni yako, hivyo ndivyo ulivyo

hata wewe ni mzinifu,halafu uko fake sana,huendani na reality at all hio moja, na hauko real hio mbili, inaelekea unaweza kufanya lolote just to be noticed, huyo mkeo ana kazi kubeba mwanaume furushi kama wewe
 
Tunatofautina Maandiko...

Lakini kuhusu talaka.. mwanaume akiamua kuacha...Naweza acha hata kwa sababu umeunguza Maharage...Talaka Ni ya mwanaume yeye ndo anaeacha

Kwaiyo Kama akiamua kukuacha kwa kwakua Huna Bikra...hiyo Ni sawa...
Ina Maana hakuzini nawe kabla...ina Maana alikua kuwa unabikra na ikawa Sio..

Kishetani ni sawa lakini kimungu sababu ya kumuacha mkeo ni moja tuu ambayo ni uzinzi iwe alioufanya kabla yako(hukukuta bikra) au baada ya kumuoa na akachepuka.

Sababu nyingine ya talaka ni mkeo kama atakuwa mchawi au mshirikina. Asiyemcha Mungu. Lakini hizo sababu zingine sijui za kuunguza maharage ni porojo za masheikh ubwabwa, hakuna quran ya hivyo. Labda zile hadithi za Maswaaba wa mtume ambao hadithi zao hata hivyo sio Quran bali maoni yao tuu
 
Kama itapaswa kusema ukweli unafikiri nitashindwa kusema ikiwa ni kweli Mama atakuwa ni malaya?

Shetani anatabia ya unafiki, sasa kama unashindwa kusema jambo dogo kama hilo kipi unaweza?

Au kazi kuwasonda vidole wamama wa wengine
Sawa....ujue dhambi SI Malaya tu..siku mtoto akiamua kukutukana kwa mapungufu yako...Uvumilie ty
 
hata wewe ni mzinifu,halafu uko fake sana,huendani na reality at all hio moja, na hauko real hio mbili, inaelekea unaweza kufanya lolote just to be noticed, huyo mkeo ana kazi kubeba mwanaume furushi kama wewe

Hakuna jambo baya kama kunajisiwa na kunajisi maisha ya kijana wa watu, na kizazi kwa ujumla
 
Wapi nimesema hujui kingereza wewe mwanamke? Yaani umechanganyikiwa kiasi hiki.

Nimesema kingereza chako ni cha Charlie chaplin

Hata useme changu ni cha Magufuli, I dont care,unaongea na mwanamke wa 37 years, sihitaji validation humu
 
Sawa....ujue dhambi SI Malaya tu..siku mtoto akiamua kukutukana kwa mapungufu yako...Uvumilie ty

Wapi nimesema dhambi ni umalaya tuu?

Watoto wangu wapo huru kukemea uovu hata kama Baba yao nimefanya, mimi sio Mungu hata nisikosee. Ndio maana nikasema, huko ushetanini ndio mzazi anakosea lakini kwa Mungu mzazi anakosea na anaweza ambiwa tuu.

Ukosee usiambiwe wewe ni nani bhana, kisa kuzaa au? Au kubeba mimba hiyo miezi tisa tuu? Embu acheni kujifanya miungu watu.

Ukitaka usisemwe jitahidi usikosee, sio ukosee alafu hutaki kuambiwa kisa umama sijui ubaba upuuzi mtupuu!

Baba ni Mungu pekee tuu. Sisi wengine ni viumbe, kuzaa ndio kukubadilishe
 
Kishetani ni sawa lakini kimungu sababu ya kumuacha mkeo ni moja tuu ambayo ni uzinzi iwe alioufanya kabla yako(hukukuta bikra) au baada ya kumuoa na akachepuka.

Sababu nyingine ya talaka ni mkeo kama atakuwa mchawi au mshirikina. Asiyemcha Mungu. Lakini hizo sababu zingine sijui za kuunguza maharage ni porojo za masheikh ubwabwa, hakuna quran ya hivyo. Labda zile hadithi za Maswaaba wa mtume ambao hadithi zao hata hivyo sio Quran bali maoni yao tuu
Mkuuu..Talaka Ni ya mwanaume...anaweza kukuacha kwa sababu yoyote ile...au bila sababu..
Ndo Maana wanaambiwa watumiee busara na wasichezee talaka..

Lakini mwanaume akisema umetoka boka ruhusa..Wewe SI mke Wangu Tena nakuacha...hiyo Ni talaka...

Mungu anasema sameaneni ...kwaiyo mkeo akichepuka ukiamua kumsamehe Unamsamehe......

Sema TU misimamo yetu ..Wewe unasema huwezi samehe kuchepuka kwa mkeo..

Lakini MUNGU ANASEMA SAMEANENI kwani hampendi Mimi niwasamehe
 
Hata kiwe changu au cha nani, kunajisiwa ni kubaya asee!

Wewe unakichwa ngumu sana.

Kichwa changu sio kigumu,kinaenda with reality, tatizo ni kichwa chako..umeng'ang'ania kunajisiwa, kwani umemnajisi nani etii? funguka tukusaidie... sio kila siku unalia lia kuhusu ubikira..kumbe kuna fuse imekata kichwani mwako na hatukuelewi bureee...
 
Mkuuu..Talaka Ni ya mwanaume...anaweza kukuacha kwa sababu yoyote ile...au bila sababu..
Ndo Maana wanaambiwa watumiee busara na wasichezee talaka..

Lakini mwanaume akisema umetoka boka ruhusa..Wewe SI mke Wangu Tena nakuacha...hiyo Ni talaka...

Mungu anasema sameaneni ...kwaiyo mkeo akichepuka ukiamua kumsamehe Unamsamehe......

Sema TU misimamo yetu ..Wewe unasema huwezi samehe kuchepuka kwa mkeo..

Lakini MUNGU ANASEMA SAMEANENI kwani hampendi Mimi niwasamehe

Nimeshakuambia nawe ukae ukijua kuwa mwanaume hapaswi kumuacha mke wake isipokuwa kwa sababu mbili nilizozitaja.

Hayo ya kusema Talaka ni ya mwanaume ni mafundisho ya kishetani. Mungu ndio anayetoa utaratibu unaopaswa kufuatwa. Mwanaume amepewa na Mungu sababu mbili tuu za kumuacha mke wake. Mwanaume sio mungu ajiamulia atakavyo kisa yeye ni mwanaume.

Yaani uunguze mboga tuu ndio akupe talaka, huyo ni punguani na anaushetani kwani watu wa shetani hawafuati ya Mungu bali utashi wao
 
Hata ungekuwa na miaka 70, tunajua wajinga na malaya pia huzeeka, Ndio maana nimekuambia kuwa free tunatambua ulivyo

Hahaaaaa hata hilo limalaya lako litazeeka pia, so kuzeeka sio kitu cha ajabu!, wewe nilikuambia hauko real na hujui kuwa real ni kitu gani..sasa uzee kitu cha ajabu?? hujitambui wewe....anyway tutaku sort tu!
 
Kichwa changu sio kigumu,kinaenda with reality, tatizo ni kichwa chako..umeng'ang'ania kunajisiwa, kwani umemnajisi nani etii? funguka tukusaidie... sio kila siku unalia lia kuhusu ubikira..kumbe kuna fuse imekata kichwani mwako na hatukuelewi bureee...

Wewe huo umri wako pia ni kioja hahahahah!
 
Back
Top Bottom