Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Na ndo nacho Fanya hila kumtoa out Ni ngumu dini sana, hila tupo karibu sana kwa uyo wa miaka3
 
Issue hapa me naona Rio poll Bali ni kuhusu umuhimu Wa bikra..haijalishi wanaume wangapi wameoa wanawake wasio na bikra.
 
Samahani naomba kuuliza, "Hivi katika dada zangu wote mnaolumbana humu na mleta mada kuna yeyote ni bikra au aliyeolewa akiwa na bikra yake?" Tuanzie hapo kwanza
 
Duuh....yaaani Mama yako ufungue mdomo umuite Malaya...au unasema TU jamii forum..

Ndo Maana nakwambia maandiko ya Mungu huyajui..ulichokion kwenye bible Ni kutoaa Asie bikra tu
Tuwekane sawa kidogo, kwani malaya ni mtu wa namna gani?
 
Wanawake wanatongozwa na kudanganywa. Vijana wa kiume wafundishwe wasiwe wahuni badala ya wanawake tu kufundishwa kuruka viunzi.
 
WEWE endelea kuzama na wewe kwenye hadithi,ulimwengu unavyoenda tofauti na wewe, wewe unaenda huku,wenyewe unaenda kule
Huyu Dada Anataka kutuaminisha kuwa ktk ulimwengu huu hakuna bikra kabisa.yani Kwa misimamo yaje no Kama vile hakuna anaezaliwa akiwa bikra.Hii inaashiria aliigawa bikra yake akiwa bado mdogo mnoo
 
Jokejeusi Hana lengo LA kukubadilisha wewe coz huna kitakacho kubadilisha maana Kama bikra huna na haiwezi rudi..Mada inawahusu wenye bikra na wanaume wanaotaka kuoa.
 
Mkuu kwa mujibu wa biblia kuna shida yoyote mtu kuoa mabikra wengi
 
Ukitaka ndoa yako idumu vitu viwili muhimu mwanaume anatakiwa awe navyo:
1. Pesa - mkeo na watoto wasiishi kwa kubahatisha wawe na uhakika wa kesho yao na hata ikiwezekana kusaidia wazazi pande zote mbili bila kuyumba.
2. Mfikishe kileleni mkeo - Hapa usisubiri masela wenye nguvu zao za kiume waje kumfurahisha mkeo.
Ukiweza kuwa na uwezo wa hivyo viwili hata ukioa kahaba utadumu nae.
 
Hivi wewe Joka umeoa?
 
Nilikuwa na rafiki wa kike ambaye tulipendana sana lakini kwa bahati mbaya/nzuri sikuwahi kufanya nae mapenzi ingawa mara moja nilishamwingiza room ila tulitoka hivi hivi. Tuliishi maisha hayo mimi nikiwa chuo na yeye akisoma Olevel na baadae Advanced level mikoa tofauti lakini likizo tukikutana Mara chache.

Nilifahamika kwao, wazazi wake wote walikuwa walimu tena kama wazungu maana nilikuwa naingia hadi kwao na binti ananisindikiza wakati wa kuondoka. Tulipendana tu japo sikumla ila kitandani tushacheza Sana na matembezi ya mtaani tukifatana kama kumbikumbi tulipanga tuoane, tulitoa hadi majina ya watoto wetu tutakaowapata. Lakini badaye tukatofautiana kwenye simu tukaachana kwa hasira ingawa kila m1 kwa shingo upande hakuna ambaye alitaka kujishusha.

Nilipomaliza chuo nikaajiriwa nyanda za juu kusini, Iringa na yeye akawa UDSM huko ndiko alipata mume aliye naye hadi Leo kwa harusi ya kanisani, katoliki. Pamoja na kwamba tuliachana hivyo na kufuta namba yake lakini alinipigia kila mwaka ifikapo birthday yangu na kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa.

Nifupishe story, wale wazazi wake kumbe wakimchosha kumwuliza Mara kwa mara kuwa yule Jack (siyo jina langu) unawasiliana naye? Hivi mlikosana nini? Maswali hayo yakawa yanamfikirisha na kumnyima Amani. Kiukweli wale walimu(wazazi wake) walipenda Sana niwe mume wa mtoto wao.
Kisa Cha kuolewa na huyo jamaa alikuta yupo bikra tena University level, hakuamini akaenda kutoa posa na kumwoa bila kupoteza muda lakini kadiri ya maelezo yake alipenda bikra itolewe na mimi otherwise aliapa lazima tugegedane hata akiwa kwenye ndoa.

Katika hali nisiyoitegemea Kuna siku akanitumia msg kuwa yupo mkoa ninaoishi tena mji huo huo, sikuamini tukapanga kuonana, na tufanye faragha. Binti wa watu alilia sana ila mwisho wa siku akasema ni mipango ya Mungu na tushukuru kwakuwa kila mmoja wetu ana familia sasa, akasema aliapa katka maisha yake na hata mama yake alimwambia kuwa lazima animtafute popote anipe tunda. Ogopa mwanamke akiweka nadhiri!! Nilimtafuna vizuri sana alinifosi nilale lodge lakini sijawahi lala nje ya home kizembe hivyo, mke wangu angestuka. Niliongea na wazazi wake wote wawili kupitia simu yake, wananikumbuka sana.

Alinionesha picha za harusi yao, mme wake ni mtu mwenye kipato kikubwa sana, simfikii hata kidogo hadi binti anasema hafurahii maisha yale amekuta mali nyingi ambayo hajachuma akiwa na yeye. Hivyo sometimes anakosa uhuru.

Mume aliagwa kuwa anaenda kusalimia wazazi, kweli binti alienda kwao na siku ya pili akaunganisha kuja kwangu. Siku ya kuondoka pia alienda mkoa wa wazazi wake ili atakaporudi kwa mumewe ionekane ameshuka kwenye bus za kwao(mmewe ana desturi ya kwenda kumpokea stand kuu).

Mwenyewe anaamini Mimi na yeye Ni soulmates. Na kiukweli ndiye binti niliyewahi kumpenda kuliko yeyote.

Huyo ni mke wa mtu aliyekutwa bikra amenituku papuchi, hawa wenzetu hawana formula. Na anavyokazia kuwa sisi ni soulmates, hatuwezi kuachana milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…