Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hakuna cha soulmates hapo ni wazinzi wawili mmekutana.
 
Ah kwa hiyo jamaa ukapewa papuchi...mie nakupongeza kwa kuila papuchi.

Hayo ya bikra mume ni bwege. Oa bikra ambaye tayari kashaingia mtaani sio bikra yupo chuo.
 
kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kweli Mungu saidia umemenya tunda mwenyewe halafu ukajiamini kuwa mkeo hawawezi kukusaliti... mara ghafla unagundua kuna kajamaa tu hapo jirani tena kabeki tatu anapoendea maziwa ya chai asubuhi tena ndio kalisha ng'ombe hapo huwa kanatoka na mkeo hali wewe ndio umemfungulia kwenye ndoa,

Naamini utaumia sana maana kisaikolojia haukjiandaa na hilo... huyu ambaye alimkuta sio bikra na mikujo yote anajua na kuvisha kondomu anajua vizuri.. na mnashauriana leo staili gani.

Huyu hata akingogewa akajua yeye hapati maumivu kama yako maana ameshajianda kiakili na maisha yataendelea baada ya mda mfupi ila wewe ndio utatamani hata ujiue kabisa.

Kwani nasema uongo ndugu zangu? au mitano tena jamani?
 
Bado tuko kwenye huzuni,mzee wetu kafa kiume huko mbezi garden hotel
 
Kuna upepo ambao unaendelea sana kwenye vichwa vya vijana wengi kwamba ukipata mwanamke ambaye ni bikra baasi wewe jua umebakiza kasoro ndogo ndogo na sio ile kubwa ya kusalitiwa hivyo unanyoosha minguu ukijiamini kwamba hata iweje baasi mkeo atakusubuli wewe tu.

Rafiki yangu sio kweli, kumbuka kile ulichomfundisha atatamani kujua na kwa wengine kunafundishwaje, hivyo ingawa mwanzoni atakuwa na uoga wa kwenda ila baadae itabidi aende tu kujaribu sasa hapo ndio utajua kuwa kumbe kama haukucheza mchezo fulani utotoni jua utaurudia ukubwani hata kama ni kwa wajukuu na ukiujulia ukubwani jua utaucheza kuliko hata yule aliyeucheza utotoni.

Hivyo ni bora ambaye sio bikra lakni ameamua kutlia na wewe kuliko yule bikra ambaye anatani kuona kama umewazidi wote kweli.
 
Jokajeusi effects.

Huyu mwamba naona kawakamata watu.

Ndoa ni kitu controversial sana, babu zetu walioaga bikra tena za miaka 14,15,16,17,18 lkn kuchapiwa kulikuwa palepale.
Unforgetable
 
Reactions: lup
e
Hii n imagination tu, ANGEKUWA NA TABIA KAMA HIYO ANGEANZA MUDA HATA HIYO ALAMA YA UAMINIFU NISINGEIKUTA.

Wajinga watakusapoti🤑
ndelea kujitia moyo sasa mtu kama akiamua kuwa mwaminifu hata kama ulimkuta sio atakuwa tu
 
Mwanamke aliyeolewa akiwa bikra lazima aheshimike bhana tatizo vijana wa siku hizi sijui mna matatizo gani maana hata maandiko hamsomi mmekazania uhuni wenu wa kusema pisi kali.

Bikra inaheshimika wewe acha uhuni wako
 
Hoja yako haina mashiko

Wewe kama haukutunza bikra yako kaa kwa kutulia, kwa kuwa umempa mumeo kitu used
 
Siku hizi zipo bikra artificial za kutengeneza kwahiyo hii mbinu yako mtu unaweza ukapigwa vile vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…