Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona anaeleweka mkuu, alichomaanisha ni kuwa mkeo huyo uliyeoa umekuta tayari wahuni wamekusaidia kukuondolea kizuizi.Duuh
We jamaa hata hujasoma story yenyewe mbona unaandika vitu havieleweki.
Wa kiume ndo wakuombewa, esp hawa wanaolala na wake za watu.kama umebahatika/unategemea kuwa na mtoto wa kike basi muweke sana kwenye maombi
maana lolote ikiwa hilo laweza kumpata
hilo pia ni tatizo mkuu mtu mwenye ujasiri wa kulala na mke watu ni haramia kabisaWa kiume ndo wakuombewa, esp hawa wanaolala na wake za watu.
Ah kwa hiyo jamaa ukapewa papuchi...mie nakupongeza kwa kuila papuchi.Nilikuwa na rafiki wa kike ambaye tulipendana sana lakini kwa bahati mbaya/nzuri sikuwahi kufanya nae mapenzi ingawa mara moja nilishamwingiza room ila tulitoka hivi hivi. Tuliishi maisha hayo mimi nikiwa chuo na yeye akisoma Olevel na baadae Advanced level mikoa tofauti lakini likizo tukikutana Mara chache.
Nilifahamika kwao, wazazi wake wote walikuwa walimu tena kama wazungu maana nilikuwa naingia hadi kwao na binti ananisindikiza wakati wa kuondoka. Tulipendana tu japo sikumla ila kitandani tushacheza Sana na matembezi ya mtaani tukifatana kama kumbikumbi tulipanga tuoane, tulitoa hadi majina ya watoto wetu tutakaowapata. Lakini badaye tukatofautiana kwenye simu tukaachana kwa hasira ingawa kila m1 kwa shingo upande hakuna ambaye alitaka kujishusha.
Nilipomaliza chuo nikaajiriwa nyanda za juu kusini, Iringa na yeye akawa UDSM huko ndiko alipata mume aliye naye hadi Leo kwa harusi ya kanisani, katoliki. Pamoja na kwamba tuliachana hivyo na kufuta namba yake lakini alinipigia kila mwaka ifikapo birthday yangu na kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Nifupishe story, wale wazazi wake kumbe wakimchosha kumwuliza Mara kwa mara kuwa yule Jack (siyo jina langu) unawasiliana naye? Hivi mlikosana nini? Maswali hayo yakawa yanamfikirisha na kumnyima Amani. Kiukweli wale walimu(wazazi wake) walipenda Sana niwe mume wa mtoto wao.
Kisa Cha kuolewa na huyo jamaa alikuta yupo bikra tena University level, hakuamini akaenda kutoa posa na kumwoa bila kupoteza muda lakini kadiri ya maelezo yake alipenda bikra itolewe na mimi otherwise aliapa lazima tugegedane hata akiwa kwenye ndoa.
Katika hali nisiyoitegemea Kuna siku akanitumia msg kuwa yupo mkoa ninaoishi tena mji huo huo, sikuamini tukapanga kuonana, na tufanye faragha. Binti wa watu alilia sana ila mwisho wa siku akasema ni mipango ya Mungu na tushukuru kwakuwa kila mmoja wetu ana familia sasa, akasema aliapa katka maisha yake na hata mama yake alimwambia kuwa lazima animtafute popote anipe tunda. Ogopa mwanamke akiweka nadhiri!! Nilimtafuna vizuri sana alinifosi nilale lodge lakini sijawahi lala nje ya home kizembe hivyo, mke wangu angestuka. Niliongea na wazazi wake wote wawili kupitia simu yake, wananikumbuka sana.
Alinionesha picha za harusi yao, mme wake ni mtu mwenye kipato kikubwa sana, simfikii hata kidogo hadi binti anasema hafurahii maisha yale amekuta mali nyingi ambayo hajachuma akiwa na yeye. Hivyo sometimes anakosa uhuru.
Mume aliagwa kuwa anaenda kusalimia wazazi, kweli binti alienda kwao na siku ya pili akaunganisha kuja kwangu. Siku ya kuondoka pia alienda mkoa wa wazazi wake ili atakaporudi kwa mumewe ionekane ameshuka kwenye bus za kwao(mmewe ana desturi ya kwenda kumpokea stand kuu).
Mwenyewe anaamini Mimi na yeye Ni soulmates. Na kiukweli ndiye binti niliyewahi kumpenda kuliko yeyote.
Huyo ni mke wa mtu aliyekutwa bikra amenituku papuchi, hawa wenzetu hawana formula. Na anavyokazia kuwa sisi ni soulmates, hatuwezi kuachana milele.
Anajifanya haelewi. Mie niliona hataki kuelewa kwa maksudi hivyo sikutaka hata kumjibu tena.Mbona anaeleweka mkuu, alichomaanisha ni kuwa mkeo huyo uliyeoa umekuta tayari wahuni wamekusaidia kukuondolea kizuizi.
Ameamua kutoa stress kwa kuitolea povu bikra.Hanithi huyu!
ndelea kujitia moyo sasa mtu kama akiamua kuwa mwaminifu hata kama ulimkuta sio atakuwa tuHii n imagination tu, ANGEKUWA NA TABIA KAMA HIYO ANGEANZA MUDA HATA HIYO ALAMA YA UAMINIFU NISINGEIKUTA.
Wajinga watakusapoti🤑
kweli kabisa tena vichakani na kwenye visimaJokajeusi effects.
Huyu mwamba naona kawakamata watu.
Ndoa ni kitu controversial sana, babu zetu walioaga bikra tena za miaka 14,15,16,17,18 lkn kuchapiwa kulikuwa palepale.
Unforgetable
Siku hizi zipo bikra artificial za kutengeneza kwahiyo hii mbinu yako mtu unaweza ukapigwa vile vileNgoja nitaweka Tips hapa.
Ila kama unajiamini sana, ukipata mchumba yeyote mwambie yeye na wazazi wake kuwa unataka kumuoa na unatoa mahari lakini kama hutakuta bikra basi ndoa itavunjwa na mahari itarudishwa, mbona rahisi sana.
Mischana yeyote kama hana bikra hawezi kukubali ifike hatua hiyo ili adhalilike yeye na wazazi wake.