Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

[emoji16][emoji16]usitufokee bhn watu na miaka yetu 20+ na tumekua kiakili wewe endelea kukariri maisha mkuu hata ivyo dunia inakwenda Kasi Sana pengine unaweza kuwa sahihi mm sijui

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
nitajifunzia kwako, nitakapo kosea unaruhusiwa kunisahihisha, sawa mwalimu, wengine shule, ilipita kushoto ko tulijifunza kusoma,
Sawa
Sasa ukirekebishwa ukubali kurekebishika.....maisha ni kujifunza,kila siku tunajifunza
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , naomba waliooa au kuolewa bila bikra waje hapa watupe ushuhuda wao kwa sisi vijana kama kweli ndugu Jokajeusi anayoyasema yanawatokea.

Mfanowewe mwanamke ulishawhi kumsaliti mmeo kwa aliyekutoa bikra? Kwa uliyeoa ambaye sio bikra ulishawahi kuhisi kitu kama hicho kwa mmkeo?

NAKWEDE mshenga wangu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Reactions: lup
Siti ya mbele
 
Reactions: lup
Moja Kati ya post chonganishi ni hiii.najua wengi wapo kwenye maumivu ila waje wajipe faraja KWA kuwa alishaoa mwanamke aliyewai kuishi kama kimada wa mtu.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Kama mke wako Hana hofu ya MUNGU tarajia miujiza yako ktk hiki unachouliza.
 
Reactions: lup
kwli kabisa hofu ya Mungu ndio kila kitu aisee haya mengine ni hakuna aisee hapo umemaliza mjandala
Hivi mtu mwenye hofu ya Mungu huwa anapimwaje??
Msijekuwa mnajidanganya kwa kuwa wake zenu wanaenda kanisani na kuimba kwaya mkadhani mpo salama sana maana wengine ndio huko huko kanisani wanakopatia michepuko mipya.
Hebu nisaidieni asee,, mke mwenye hofu ya Mungu huwa anapimwaje??
 
duh, turudi kwenye mada tajwa hapo juu kwanza
 
Wewe jamaa umekuja kubishana na ndugu Jokajeusi

Lakini jamaa ukimsikiliza point zake ni ukweli kabisa, huwezi linganisha mwanamke alietembea na wanaume zaidi ya watano na mwanamke ambaye ni bikra, hawalingani hata kidogo, so wewe endelea kujipa moyo tu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Shukrani mkuu ila unaonaje ukaongeza kidogo ili nipate Safari Baridi maana wengine hizo soda hatutumii
Umehama balimi my dear?
 
Wanaume wanaompinga jokajeusi ni wale waliooa au walio ktk mahusiano na wanawake ambao kwa bahat mbaya hawakuwakutabikra.

Wanawake wanaopinga hoja wapo ktk makundi ma3
1:Ni wale walioolewa lakini kwa bahati mbaya hawakuwa na bikra.Hawa hawana jazba saanaa.

2:Ni wale ambao hawajaolewa na kwa bahati mbaya hawana bikra tena.

3:Ni jamii ya akina rebecca,yaani hawajaolewa,hawana bkra,na kwa bahati mbaya zaidi umri umewatupa mkono(single Mothers).Hawa wana hasira mbaya sana iliyoambatana na chuki kubwa.

TUVUMILIANE TU JAMANI
 
Reactions: _ly

Mkuu mwenye macho haambiwi tazama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…