Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mwanadamu tangu anazaliwa anamjua Mungu Mkuu/
Mtu hafundishwi kumjua Mungu
Sasa Agano jipya linasemaje kuhusu hawa wanawake wasio na Bikira? Tuwaue au Tusiwaoe?
Maana katika ufalme wa mwana wa Adamu hatutaoa Wala kuolewa. Naomba mwongozo mkuu.
 
Pamoja na ukweli kwamba Bikira Ina Heshima kubwa na utakaso lakini bado sio ustahimilivu wa mahusiano yako na mwenzio

Kinachodumisha na kuharibu ndoa za watu Ni Mazingira tu Mtoa mada japokuwa wataalamu wa saikolojia wanatambua mchango wa vinasaba katika kuchochea mihemko ya wendawazimu.

Bikira siku hizi zinatoka kwa Mambo mengi Sana Mbali na uzinzi. Mfano Baiskeli 🤗🤗.

Ukweli mchungu Ni kwamba wapo wanawake walio olewa na Bikira zao na bado walivunja ndoa zao vilevile.

Samahani hapa: Labda ungesema kuwa wewe Ni muumini wa wanawake Bikira na waliokeketwa hao wanauimara fulani kwa sababu miili yao hukinzana na vichochezi fulani, ningekuunga mkono.

Huo Ni uzoefu nilionao juu ya Dunia ya Sasa japokuwa hata haya ulioyazungumza Yana ukweli kadha wa kadha.
 
Sasa Agano jipya linasemaje kuhusu hawa wanawake wasio na Bikira? Tuwaue au Tusiwaoe?
Maana katika ufalme wa mwana wa Adamu hatutaoa Wala kuolewa. Naomba mwongozo mkuu.
Kasome biblia ndugu

[emoji16][emoji16]
 
Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini. Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili, tatu, nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye una nia naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?
 
Back
Top Bottom