wapo ndugu sehemu yoyote hata hapo huko uliko wapo wengi sanaNiulize swali, ivi hao wenye bikra wanapatikana wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo ndugu sehemu yoyote hata hapo huko uliko wapo wengi sanaNiulize swali, ivi hao wenye bikra wanapatikana wapi?
Nitawajuaje sas?wapo ndugu sehemu yoyote hata hapo huko uliko wapo wengi sana
😂😂😂😂 IbilisiMtu anayetoa bikra alafu asioe namfananisha na Ibilisi
mwonekano na mienendo yakeNitawajuaje sas?
Halafu anataka mahari iwe 2MUmenena vyema,,Siku zote unaongea kweli ingawa tunakuchukulia Kama mlopokaji,,Fikilia unamuoa mwanamke aliyetolewa bikira na mwanaume mwingine,,huwa haileti maana pia ni aibu na dharau .
Yaan Ni aibu kulipia mahar kubwa huku chini pakiwa pango tuu lisilo na pazia.Halafu anataka mahari iwe 2M
Unaruhusiwa kabisa,,pia hakikisha unamfundisha mwanao tendo Ni baada ya ndoa kufungwa kanisan au msikitin.Tunaruhusiwa kukataa wanaume wasio na bikra? Since tumeenda kiroho zaidi?
Umenena vyema,,Siku zote unaongea kweli ingawa tunakuchukulia Kama mlopokaji,,Fikilia unamuoa mwanamke aliyetolewa bikira na mwanaume mwingine,,huwa haileti maana pia ni aibu na dharau .
Huu ni ukweli mchungu lakini ni ngumu sana ukweli huu kuishi ndani ya karne hii ambayo maadili na malezi yameporomoka mno. Me nadhani tatzo kubwa linalochangia hii hali kwasasa ni malezi mabovu na maadili tukilitatua hili kwa asilimia kubwa itapunguza hizi kasumba za kuanza mapenz katika umri mdogo.