Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Muulize huyo binti alifuata nini gesti/ ghetto wakati yeye ni bikira? Je ndoa zinapatikana huko?
 
duh malaika kutoka mbingu gani
Huyu ndumilakuwili hutakiwi hata kuhojiana naye kwa sababu ubongo wake umehamia ndani ya suruali. Anafaa tu kusikitikiwa, kuhurumiwa, na pengine kusaidiwa asije kuvuka ^a point of no return!^ Why!???? Kwa nini lakini!???
 
Kwani wewe unaoa bikra au? Yaani Kutolewa anatolewa mwengine wewe inakuuuma nini mkuu? oa mwanamke uliyempenda swala la bikra wengine wanataka kuondoa kizuizi tu na wengine ndo hao wanajikuta wamenasa wenyewe kwenye mtego.

Sasa unataka akae na hiyo bikra ili agundue nini? Kuvunja ntaendelea kuvunja wewe endelea kufanya gossip huku mke waki akimkumbuka aliyemvunja ya kwake.

Kikubwa hajalazimishwa mtu na sijavunja sheria za nchi basi hakuna shida wacha kila mtu afanye anachofanya mkuu usijiumize kichwa .

Hope mada kama hizi zitapungua jua kuvunja na kuoa hakuna relationship yeyote .

N.b
Project bado zinaendelea

Let' meet at the top ✌.
 
Niulize swali, ivi hao wenye bikra wanapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…