Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,572
Word...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafakari ya siku hii!!Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.
Alijua kuna vilaza kama wewe mnaodanganyika na bikra kumbe mwanamke ameshakubuhu. Mara 1000000 asiye na bikra ila ni wife material and vice versa is true.Sio alijua thamani ya bikra ndio maana akaona atengeneze feki ili ninyi mliopoteza thamani yenu mnunue.
Alijua kuna vilaza kama wewe mnaodanganyika na bikra kumbe mwanamke ameshakubuhu. Mara 1000000 asiye na bikra ila ni wife material and vice versa is true.
Ninayetarajia kumuoa sio bikira, namimi sio mjinga (naamini nawezakua mwerevu kukuzidi, who knows) na wala sijidharau.Habari Wakuu!
Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wakina Amber Rutty kwa kweli kuolewa wacha waiite Bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na wale dizaini ya kina Wema.
Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye. Hakika inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo. Lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana. Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.
Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.
Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka. Kuolewa ni bahati kwa wanawake wasio na Bikra lakini ni lazima kwa wanawake wenye bikra.
Sasa Hivi atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 24 awe mzuri kama malaika aseme anataka kuolewa uone kama hata chukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.
Sijui kwa nini watu hawaelewi mambo madogo kama haya.
Povu linaruhusiwa. Hasa kwa wanawake wenye mrengo wa Amber Rutty
Ninayetarajia kumuoa sio bikira, namimi sio mjinga (naamini nawezakua mwerevu kukuzidi, who knows) na wala sijidharau.
Kama kuoa bikira ndio kipimo cha ujinga basi dunia inawanaume werevu wachache saanaa..(kuanzia zama hizi mpaka zijazo). Kibaya zaidi matoto wako (wakike kwa wakiume) watakua WAJINGA WAKUPINDUKIA
Bado mdogo ukikua utaacha.Wife Material hana Bikra? Hhahaha!! Dunia imefikia mwisho kwa kweli. Mimi ni kilaza kweli ila wanaume halisi ndio wananielewa lakini si mwanamke kahaba
ya Mbele au ya nyumaHabari Wakuu!
Mwanamke mwenye Bikra kuolewa ni lazima na ni haki yake lakini hawa wakina Amber Rutty kwa kweli kuolewa wacha waiite Bahati. Huwezi msikia mwanamke Bikra akiongea kauli ya kijinga kama hiyo. Kauli hiyo hutolewa na wanawake waliochojolewa na wale dizaini ya kina Wema.
Mwanamke Bikra anayohaki ya msingi ya kuchagua mwanaume amtakaye. Hakika inapendeza kusika mwanamke bikra akisema nataka mwanaume mwenye pesa, HB, na mcha Mungu. Hata sisi wanaume tutakuambia kwa kweli una haki ya kuchagua hivyo. Lakini nyie akina Amber Rutty ambao mgodi ulimalizwa madini yote kwa kweli mnashangazaga sana. Hata hivyo Mungu ni mwema kwani aliumba pia na wanaume wajinga na wenye kujidharau ndio maana mnaolewa. Lakini kwa wanaume wanaojielewa, wanaojua thamani ya mke hawawezi hata thubutu kuchukua binti asiye bikra.
Binafsi nipo tayari kutoa mahari yoyote kwa mke wang mtarajiwa endapo tuu atakuwa ni bikra. Bikra ni Nyota njema. Embu fikiria Yesu angezaliwa na mwanamke asiye na bikra nini kingekuja kwa wanaume wanaojua kufikiria na kujua thamani ya utume.
Mwanamke mwenye bikra hawezi kuwa na wasi wasi hata afikishe miaka 40. Lakini asiye na bikra miaka 25 tuu jasho linamtoka. Kuolewa ni bahati kwa wanawake wasio na Bikra lakini ni lazima kwa wanawake wenye bikra.
Sasa Hivi atoke mwanamke hapa mwenye umri wa miaka 35 aseme yeye ni bikra na anataka kuolewa, nakwambia hawezi chukua wiki moja wanaume watapanga foleni kujaribu bahati zao. Lakini atoke asiye na bikra miaka 24 awe mzuri kama malaika aseme anataka kuolewa uone kama hata chukua miaka kama miwili mpaka saba kupata wa kumuoa.
Sijui kwa nini watu hawaelewi mambo madogo kama haya.
Povu linaruhusiwa. Hasa kwa wanawake wenye mrengo wa Amber Rutty
Sinza nije kufata nini? Weee hujion kama unaandika upuuzi?? Mwanaume muoaji hata siku moja humkuti anaongea mashudu haya.Njoo Sinza, then hutoandika upuuzi wako hapo. Ukweli lazima uzungumzwe. Hata kama umekosea haimaanishi ukweli huo usisemwe
Pole ya nini na mimi sitafuti ndoa. Naongea na wewe kukufahamisha kua dunia ya sasa hiko kitu sio cha kujisifia mbele za watu utapewa bikra feki uoe kumbe chama la wana. Mwingine anaweza kua ana bikra ya mbele nyuma kumelegea.Pole sana Mkuu, niliruhusu povu. Ushaambiwa vizuri ni vya wachache na maisha ni kama piramidi.
Mimi hali yangu sina shaka nayo (nadhani pia sio jukumu lako kunikumbusha kuhusu hiyo).Werevu siku zote huwa wachache sana kumbe ulikuwa hulijui hili. Huyo mwanamke anabahati/neema kama hana bikra. Pambana na hali yako Mkuu.
Pole ya nini na mimi sitafuti ndoa. Naongea na wewe kukufahamisha kua dunia ya sasa hiko kitu sio cha kujisifia mbele za watu utapewa bikra feki uoe kumbe chama la wana. Mwingine anaweza kua ana bikra ya mbele nyuma kumelegea.
Sio vibaya kujifunza.