Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kuna tofauti kubwa kati ya kazi na ndoa. Kuna tofauti kubwa kati ya karama/kipaji na ndoa. Ndoa ni zaidi ya vyote hivyo. Ni moja ya kanuni za uumbaji. Wewe unazungumzia kazi na vipaji. Ndoa ilikuwepo kabla ya kazi, vipaji, pesa, n.k. Usiichukulie Poa. Ndoa ni pepo ndogo na hapo hapo ni Jehanam ndogo. Ndoa ni zaid ya uijuavyo. Ndio maana Shetani anawekeza huko kuliko sehemu yoyote ile.
Atakayeshindwa kukuelewa mkuu hapa, basi Mungu amrehemu
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Aiseeee noma sana sina neno mie
 
Kipi bora mwanamke mwenye bikra lakini hamendani kitabia na mwanamke asiye na bikira ila kitabia mnaendana sana yaani kuna chemistry kubwa kati yenu


Tabia ipi mkuu unayoizungumzia. Kuendana kitabia na mwanamke ni kuwa mwaminifu hayo mengine ni ziada
 
Mke mwema na mume mwema ni yule anayemcha Mungu. Ni vizuri ukibaatika kuoa bikira lakini si jibu katika ndoa za siku hizi, Mwanamke aliye na hofu ya Mungu hata kama kwa bahati mbaya hakuwa bikira lakini ni heri kuoa huyo.

Pia kwa wale wanaume wanaotafuta watoto wa watu kuwatoa bikira zao ninawaakikishieni na binti zenu watatolewa bikira hadharani. Ni vizuri ukimtoa binti bikira hakikisha unamooa na si kumtupa huko akaenda kuitwa used na mwanamme mwingine.


Kutunza bikra ni moja ya sifa ya mwanamke anayemcha Mungu Mkuu. Embu nambie unadhani ni kwa nini Makuhani waliambiwa na Mungu waoe Mabikra?

Mungu anamchukuliaje mwanamke mwenye bikra na anataka sisi tumfikirieje?
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........


Mkuu pesa haiondoi Ujinga. Unaweza kuwa maarufu na mwenye utajiri lakini ukakosa akili. Mwanaume mwenye uelewa mpana hawezi fanya ujinga kama huo. Endelea kujipa moyo
 
Kuolewa jambo la kawaiiiida sana kwan kuolewa kunaongeza siku za kuishi sasa??? Ni vile tu mind yako inavyoamini na uko kuolewa


Hahhahhaaa!! Endelea kujipa Moyo. Lakini ukweli upo moyoni. Ku-type hakutaathiri ukweli wowote uliomo moyoni mwako
 
Watu wanaolewa na watoto zaidi ya mmoja na wanaume wenye heshima na pesa zao we bado unaongelea bikra afu ukute mvuto huna, hela huna, akiii apo ndo unachosha watu


Leo povu linakutoka kweli kweli. Ndio maana nikasema hao walioolewa bila bikra ni bahati/Neema waliyopewa tuu.

Suala la haiba yangu na muonekano wangu wapo wanaonijua humu waambia wakueleze Joka Jeusi ni Nani. Pole sana Dada yangu ndio maisha hayo
 
Tulee watoto wote wa kiume kwa usahihi waje wawe gentlemen, Mwanaume mstaarabu huwatreat wanawake vizuri bila kukashifu na ujinga mwingine, btw kuwa mwanamke ni kazi mno, tena itokee bahati nzuri umezaliwa mzuri, utapambana kuruka viunzi vya wanaume wanaokutaka wastani wa 100 kwa mwaka ila mwisho wa siku kuna sehemu utanasa tu, sasa iweje mtu akashifiwe kwa kutokuwa bikra as if bikra ni dhahabu, na hata ukiitunza ipo siku utaitoa tu, whats the point!? kiukweli kabisa kuna wanaume wastaarabu mno ambao haiwahitaji kukashifu wanawake ili wajione wao ni bora, kama bikra kwako ni muhimu kwanini usiwe busy kutafuta bikra instead of kukashifu wengine ambao walitoa bikra zao kwa starehe zao wenyewe, kukosa akili tu.

Kusema ukweli ni kukashifu. Ifike mahala watu wakubali ukweli hata kama unawagusa moja kwa moja. Gentlemen hamung'unyi maneno kama demu huongea vitu wazi wazi bila kuficha.

Kweli wanawake hasa wazuri wanapitia kwenye mitego mingi lakini hiyo ndio humfanya mwanamke kuwa wife material akiishinda. Tofauti na hapo mada haibadiliki
 
Dah safi sana!
Mkuu sina cha kusema ila nakupongeza hiko kichwa chako umekipa thamani yakutosha.


Hapa ni ukweli tuu, nipo tayari kupingwa na wenye bikra na walioolewa bikra na wale wanaojua wapi waliokosea lakini si hao akina amba Rutty
 
Auchukue hiyo bikra aiweke ndani kama mke yaaani kuwaza kote anafikiri ndoa ni bikra haaaahaaa kwa stail hii tutegemee kuvunjika kwa ndoa kila siku (NDOA NI ZAID YA MAUMBILE IKIWEMO BIKRA)


Nguzo ya pili ya ndoa ni uaminifu baada ya upendo. Utamuamini vipi mwanamke usiyemkuta bikra? hivi haya mambo mnayachukuliaje. Au mnadhani wazee wa zamani walikuwa wajinga na ninyi ndio werevu?

Vipi Mungu anazungumziaje suala la ndoa?
 
Ukwel mchungu ila huo ndo ukwel
Watu washapigaa af we ndo unaenda kuoa


Hawajui thamani ya Mke. Huyu ni mwili wangu, nyama katika nyama zangu, mifupa katika mifupa yangu. Sasa leo unipe kiungo cha bandia unafikiri itakuwaje?
 
Wengi tunaishia kuoa wake za watu kwani aliyevunja bikira angestahili kumuoa ! Watu wanakula chakula kazi yetu kuosha vyombo !! Naomba kujua mwanaume ambae hajawahi ku - sex anaitwaje ?

Kuchukua asiyebikra ni kuchafua nyota tuu
 
Back
Top Bottom