Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Usifanye hivyo bhana...Nlikuwa tu nawaza mkuu ivi kumbe yamejiandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye hivyo bhana...Nlikuwa tu nawaza mkuu ivi kumbe yamejiandika
Kumbe na wewe unatafuta bikraaaaUsifanye hivyo bhana...
Atakayeshindwa kukuelewa mkuu hapa, basi Mungu amrehemuKuna tofauti kubwa kati ya kazi na ndoa. Kuna tofauti kubwa kati ya karama/kipaji na ndoa. Ndoa ni zaidi ya vyote hivyo. Ni moja ya kanuni za uumbaji. Wewe unazungumzia kazi na vipaji. Ndoa ilikuwepo kabla ya kazi, vipaji, pesa, n.k. Usiichukulie Poa. Ndoa ni pepo ndogo na hapo hapo ni Jehanam ndogo. Ndoa ni zaid ya uijuavyo. Ndio maana Shetani anawekeza huko kuliko sehemu yoyote ile.
Aiseeee noma sana sina neno mieMtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.
Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Kipi bora mwanamke mwenye bikra lakini hamendani kitabia na mwanamke asiye na bikira ila kitabia mnaendana sana yaani kuna chemistry kubwa kati yenu
Mke mwema na mume mwema ni yule anayemcha Mungu. Ni vizuri ukibaatika kuoa bikira lakini si jibu katika ndoa za siku hizi, Mwanamke aliye na hofu ya Mungu hata kama kwa bahati mbaya hakuwa bikira lakini ni heri kuoa huyo.
Pia kwa wale wanaume wanaotafuta watoto wa watu kuwatoa bikira zao ninawaakikishieni na binti zenu watatolewa bikira hadharani. Ni vizuri ukimtoa binti bikira hakikisha unamooa na si kumtupa huko akaenda kuitwa used na mwanamme mwingine.
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.
Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Kuolewa jambo la kawaiiiida sana kwan kuolewa kunaongeza siku za kuishi sasa??? Ni vile tu mind yako inavyoamini na uko kuolewa
Watu wanaolewa na watoto zaidi ya mmoja na wanaume wenye heshima na pesa zao we bado unaongelea bikra afu ukute mvuto huna, hela huna, akiii apo ndo unachosha watu
Tulee watoto wote wa kiume kwa usahihi waje wawe gentlemen, Mwanaume mstaarabu huwatreat wanawake vizuri bila kukashifu na ujinga mwingine, btw kuwa mwanamke ni kazi mno, tena itokee bahati nzuri umezaliwa mzuri, utapambana kuruka viunzi vya wanaume wanaokutaka wastani wa 100 kwa mwaka ila mwisho wa siku kuna sehemu utanasa tu, sasa iweje mtu akashifiwe kwa kutokuwa bikra as if bikra ni dhahabu, na hata ukiitunza ipo siku utaitoa tu, whats the point!? kiukweli kabisa kuna wanaume wastaarabu mno ambao haiwahitaji kukashifu wanawake ili wajione wao ni bora, kama bikra kwako ni muhimu kwanini usiwe busy kutafuta bikra instead of kukashifu wengine ambao walitoa bikra zao kwa starehe zao wenyewe, kukosa akili tu.
Dah safi sana!
Mkuu sina cha kusema ila nakupongeza hiko kichwa chako umekipa thamani yakutosha.
Auchukue hiyo bikra aiweke ndani kama mke yaaani kuwaza kote anafikiri ndoa ni bikra haaaahaaa kwa stail hii tutegemee kuvunjika kwa ndoa kila siku (NDOA NI ZAID YA MAUMBILE IKIWEMO BIKRA)