Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
AiseeeNaweza kumvumilia mwanamke ila awe na uhakika kama anayo kweli iyo bikra ila tofauti na hapo never
🤣🤣🤣Ambao hata tukioana hatutaki kumgusa tunanyosha nini🙄
Safi mpendwa..hujambo?Za kupotea we mdada?
Nimeonekana sasa rafikinzuri tu namshkuru Mungu.
Umepotea sana rafiki
Karibu tena jamvini nilimiss michango yako ya makavu liveSafi mpendwa..hujambo?
KwakweliiSiku hizi tunaoa tu lakini suala la kupata mke bikra limekuwa gumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Hahaha jamani...sasa hivi nimeokoka nakomenti kipendwa tuKaribu tena jamvini nilimiss michango yako ya makavu live
Usitufanyie hivyo jamani, Yani kwenye uzi ukiwepo wewe espy na karma nachekaga kweliHahaha jamani...sasa hivi nimeokoka nakomenti kipendwa tu
Usitufanyie hivyo jamani, Yani kwwnye uzi ukiwepo wewe espy na karma nachekaga kweli
Mweeh usinifananishe mimi na hao wanawake pasua kichwaUsitufanyie hivyo jamani, Yani kwwnye uzi ukiwepo wewe espy na karma nachekaga kweli
🙌🙌😂😂😂Umeshaanza fujo zako, karibu tena 😂😂😂Mweeh usinifananishe mimi na hao wanawake pasua kichwa
Sa utajuaje kama papuchi ipo kweli, usije kufungashiwa mbuzi kwa junia kumbe siyo?!Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
👆Mwanaume ambaye yuko tayari kutomgusa mwanamke hadi amuoe anyooshe mkono juu..
Sio vizuri kupotea sana rafikiNimeonekana sasa rafiki
Mdogo wangu au wajina tupo ambao hatugusi kabisaAmbao hata tukioana hatutaki kumgusa tunanyosha nini[emoji849]
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Sa utajuaje kama papuchi ipo kweli, usije kufungashiwa mbuzi kwa junia kumbe siyo?!
🤣🤣🤣Sasa ni breki pu.mbu tuu
🤣🤣🤣🤣Mweeh usinifananishe mimi na hao wanawake pasua kichwa