Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mchina aliwajua wenye akili kama zako ndio maana akaja na dawa za kutengeneza bikra.
 
Mchina aliwajua wenye akili kama zako ndio maana akaja na dawa za kutengeneza bikra.

Sio alijua thamani ya bikra ndio maana akaona atengeneze feki ili ninyi mliopoteza thamani yenu mnunue.
 
Alijua kuna vilaza kama wewe mnaodanganyika na bikra kumbe mwanamke ameshakubuhu. Mara 1000000 asiye na bikra ila ni wife material and vice versa is true.

Wife Material hana Bikra? Hhahaha!! Dunia imefikia mwisho kwa kweli. Mimi ni kilaza kweli ila wanaume halisi ndio wananielewa lakini si mwanamke kahaba
 
Ninayetarajia kumuoa sio bikira, namimi sio mjinga (naamini nawezakua mwerevu kukuzidi, who knows) na wala sijidharau.

Kama kuoa bikira ndio kipimo cha ujinga basi dunia inawanaume werevu wachache saanaa..(kuanzia zama hizi mpaka zijazo). Kibaya zaidi matoto wako (wakike kwa wakiume) watakua WAJINGA WAKUPINDUKIA
 
Werevu siku zote huwa wachache sana kumbe ulikuwa hulijui hili. Huyo mwanamke anabahati/neema kama hana bikra. Pambana na hali yako Mkuu.
 
Bikra
ya Mbele au ya nyuma
 
Sinza nije kufata nini? Weee hujion kama unaandika upuuzi?? Mwanaume muoaji hata siku moja humkuti anaongea mashudu haya.

Pole sana Mkuu, niliruhusu povu. Ushaambiwa vizuri ni vya wachache na maisha ni kama piramidi.
 
Pole sana Mkuu, niliruhusu povu. Ushaambiwa vizuri ni vya wachache na maisha ni kama piramidi.
Pole ya nini na mimi sitafuti ndoa. Naongea na wewe kukufahamisha kua dunia ya sasa hiko kitu sio cha kujisifia mbele za watu utapewa bikra feki uoe kumbe chama la wana. Mwingine anaweza kua ana bikra ya mbele nyuma kumelegea.
Sio vibaya kujifunza.
 
Werevu siku zote huwa wachache sana kumbe ulikuwa hulijui hili. Huyo mwanamke anabahati/neema kama hana bikra. Pambana na hali yako Mkuu.
Mimi hali yangu sina shaka nayo (nadhani pia sio jukumu lako kunikumbusha kuhusu hiyo).

Ninachokiona hapa ni nguvu yakuukumbatia ujinga na kuufanya sehemu ya maisha.

Nikweli kuwa heshima na thamani ya mwanamke(kwenye ndoa) inakua juu pale anapoutunza usichana wake mpaka ndoa.

Ninachokiona kua ujinga hapo ni kudhani kwamba ni wanaume WAJINGA tuu na WANAOJIDHARAU ndo huoa wasio na bikira.

Hivi ni kweli thamani yote ya mwanamke imeshia kwenye bikira tuu?

Hivi ni kweli werevu na kujithamini kwa mwanaume kipimo chake ni kuoa bikira tuu?

Kama baba yako sio 80+, ipo possibility yakwamba alioa asiye bikira. Mfikirie umuhusishe na huu uliouita ujinga, halafu fikiria uzao wa mjinga utakuaje (mind u, ujinga ni generational)
 
Pole ya nini na mimi sitafuti ndoa. Naongea na wewe kukufahamisha kua dunia ya sasa hiko kitu sio cha kujisifia mbele za watu utapewa bikra feki uoe kumbe chama la wana. Mwingine anaweza kua ana bikra ya mbele nyuma kumelegea.
Sio vibaya kujifunza.

Nakuelewa vizuri ila unapozungumza na Joka Jeusi tambua unazungumza na mtu anayejua dunia inaendaje na mwisho wake ni upi. Najaribu kuwaelewesha vijana wachache ambao watanielewa lakini wale wasiojua siri za ulimwengu hawatanielewa.

Walianza bikra haina maana, sasa tunaingia episode ya pili ya tigo, napo miaka ijayo utasikia haina shida kuoa ni kuoa. Mission accomplish-MA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…