My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
AaaarrgghhhMi nadhani watu wote ke/me inapaswa tujitunze kwani hizo bikra hatujitoi wenyewe tunatoana na nyie wanaume, it's shameful unataka kuoa bikra ila kutwa unachezea watoto wa watu. Afu bikra mbona mnaioverate sana aisee😬
Sawa ila mnatuonea bure mkuu! Hivi mnajijua mlivo ving'ang'anizi nyie hadi mnalia kisa kupewa papuchi? Kwa sababu used inajulikana kwetu tu nyie mnaona hamna hatia eeh. Naamini isingekua vishawishi vyenu nyie wala tusingekua tunaachia ila imagine mnahonga mpaka majumba na magari sababu ya papuchi 🤔Aaaarrgghhh
Ninyi wenyewe pekee mnatosha sana ku'regulate hilo sio lazima KE na ME wote
Mkijitunza ninyi automatically na sie tuta'nata na BEAT hio hio
Kwenu pakitumika si ni RAHISI kujulikana
Kazeni nyie
HahahahhSawa ila mnatuonea bure mkuu! Hivi mnajijua mlivo ving'ang'anizi nyie hadi mnalia kisa kupewa papuchi? Kwa sababu used inajulikana kwetu tu nyie mnaona hamna hatia eeh. Naamini isingekua vishawishi vyenu nyie wala tusingekua tunaachia ila imagine mnahonga mpaka majumba na magari sababu ya papuchi 🤔
Nimekuelewa
Mkuu unashauri nini kwa mwanamke ambaye sio bikra ila umemzalisha je nae tusimuoe?
Swala la mahali wanisamehe kwa kweli nilipa 300K hela ya mama tu!!
Mi nadhani watu wote ke/me inapaswa tujitunze kwani hizo bikra hatujitoi wenyewe tunatoana na nyie wanaume, it's shameful unataka kuoa bikra ila kutwa unachezea watoto wa watu. Afu bikra mbona mnaioverate sana aisee😬
Kwa nini umzalishe unataka nani amuoe?
Oa, lakini akiwa na tabia sizo toa talaka
Kwahiyo unachotusisitiza ni kwamba tujitunze kwa sababu tuna ushahidi ila si kwamba kimaadili inabidi iwe hivo? Nyie wanaume muendelee sababu hamna alama inayoonekana? Na je ukiruhusu hivo hao wanaume watafanya na nani sasa kama siyo hao wadada. Kimaadili inabidi watu wote wajitunze bila kujali ana ushahidi or not.Sasa mwanaume hata ajitunze bado hauna kithibitisho kuwa amejitunza au hajajitunza, lakini kwa mwanamke ushahidi upo, na ndio maana tunawakazania mjitunze kwani mzani unalalie kwenu
Kwahiyo unachotusisitiza ni kwamba tujitunze kwa sababu tuna ushahidi ila si kwamba kimaadili inabidi iwe hivo? Nyie wanaume muendelee sababu hamna alama inayoonekana? Na je ukiruhusu hivo hao wanaume watafanya na nani sasa kama siyo hao wadada. Kimaadili inabidi watu wote wajitunze bila kujali ana ushahidi or not.
Maadili ni kwa wote bana! Ndiyo maana hata vitabu vya dini vimeandika "msizini" bila kutaja jinsia yoyote. Wote tunatakiwa kujitunza. Pia kujitunza kwetu wadada kunategemea na vishawishi vyenu sometimes, hujawahi kumshikikza mdada watu kuhusu sex wewe hadi huwa mnalia ?,mi naona kila mtu has to be responsible on this. Usinipe vishawishi nisikupe vishawishi.🤔Mkijitunza nyie automatik wanaume watatulia.
Unajua sababu ya uwepo wa maadili?
Maadili huwekwa kwa sababu ya kundi fulani linaumizwa, wanawake wanaumizwa zaidi na vitendo vya zinaa kuliko wanaume
3.Wanaomiliki Passo na Vitz1. wenye vibamia
2. Wafupi
Mkuu unapiga spanner za back to back hadi sio poa😂Tupo pamoja Mkuu, mimi kila nipatapo nafasi lazima niingie Studio kuachia ngoma humu JF