My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
AaaarrgghhhMi nadhani watu wote ke/me inapaswa tujitunze kwani hizo bikra hatujitoi wenyewe tunatoana na nyie wanaume, it's shameful unataka kuoa bikra ila kutwa unachezea watoto wa watu. Afu bikra mbona mnaioverate sana aisee😬
Ninyi wenyewe pekee mnatosha sana ku'regulate hilo sio lazima KE na ME wote
Mkijitunza ninyi automatically na sie tuta'nata na BEAT hio hio
Kwenu pakitumika si ni RAHISI kujulikana
Kazeni nyie