Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Lakini je na wewe ni bikra? ama ndio kunya anye kuku akinya bata kaharisha...

Mwenyezi Mungu katika quran surat an nur(24) aya ya 3 kasema.
3. Mwanamume mzinifu hamwoi ila mwanamke mzinifu au mwanamke mshirikina. Na mwanamke mzinifu haolewi ila na mwanamume mzinifu au mshirikina. Na hayo yameharimishwa kwa Waumini.

Tuache kuwazini zini watoto wa watu, halafu ndio ttutafute bikra, sio umemzalisha kidawa mtoto kwa zinaaa, kisha unakuja kumtafuta bikra, hata ukifanikiwa kuipata watakugongea tu, deni la zinnaa halichachi..

Tuache uzinifu.
 
Me kwa mawazo yangu, natamani sana harusi zingefungwa kwa wadada, walio Na bikra hawa wengine, tusubiri kubariki tu, ndoa baadaye, kuna vitu nawaza hapa, umefunga harusi Na Mdada aliye toka chuo, huko kadanga hadi, K imetawanyika kama MTU kakinga mikono, miwili, ile Siku ya an moon, uenjoy chochote, sijui kwa wazoefu mnasemaje?
Acha utoto. Hawafungi harusi ni NDOA
 
Alikuja Joka Jeusi na mada hizi mkamuita mbaya,anadhalilisha,hafai,ananyanyasa kijinsia wanawake na wewe ulikuwa mmoja wao wawanao mpinga Joka Jeusi kipindi kile!Sasa Kiko wapi?
 
Kwa huu utandawazi ni ngumu sana.

Bora zamani watu walipokuwa wanawasiliana kwa barua, ila kwa hizi simu ni majanga
Nimeliwaza sana hili, zamani watoto wa kike wakiolewa mapema. Miaka 12-16 yuko kwa mume wake.
 
Mimi kwa mawazo yangu, natamani sana harusi zingefungwa kwa wadada, walio Na bikra hawa wengine, tusubiri kubariki tu, ndoa baadaye, kuna vitu nawaza hapa, umefunga harusi Na Mdada aliyetoka chuo, huko kadanga hadi, K imetawanyika kama MTU kakinga mikono miwili, ile Siku ya honey moon, huenjoy chochote, sijui kwa wazoefu mnasemaje?
Mwanamke na mwwnaume,anayeingia kwenye ndoa wakati tayari ameishafsnya tendo la ndoa kwa miaka 10+hawezi kufurahia ndoa,maana ameishazoea,haoni kitu kipya,ndio maaana kwa mwanamke,haoni tabu kuchepuka,viungo vyake vinakua vimetanuka,maana kila pipe imeingia.

Kwa wanaume ukikutana na mdada akakuambia maumbile yako madogo,Wala usijisikie vibaya,tatizo lipo Kwake,ameishatanuliwa sana kabla hqjakutana na wewe.
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Ilihali muda huo huo akiona kisu kikali kinapita kikamvutia kwa kichwa cha chini basi akili yote haiwazi bikra zaidi ya mbususu tu [emoji16]

Binadamu hatuishiwi unafki [emoji28]
Tena unafiki wa kiwango cha lami, sisi ndio waanzilishi, toa kijiti jichoni mwako kisha hamia kwa mwenzio..

Tumekaa tunawakejeli sio bikra sio bikra, je hizo hilra zimetolewa na miti!?

Unakuta bint katafunwa na wanaume wawili ktk mahusiano mawili tofauti, ila kina sisi sasa tunajaza karatasi kama menu ya 5 [emoji93] hotel [emoji3]

Tuache kuwagegeda, tuwaoe
 
Back
Top Bottom