Mpo poah Wakuu!
Kwa ambao hamjaoa nawashauri kamwe msifikiri wala kuthubutu kuoa mwanamke masikini au asiye na Bikra. Utateseka mpaka ukome ubishi.
Mwanamke masikini ambaye Hana Kazi achana naye.
Mwanamke Masikini ambaye kwao ni fukara usioe.
Kama atakuwa na Bikra basi hiyo ndio tiketi yake ya kumuoa.
Lakini Kama Hana vyote achana naye, utakuja kunishukuru Kama wengine waliochukua ushauri wangu.
Kuishi na Mwanamke masikini ni Sawa na kulala kwenye kitanda chenye kunguni.
Wabishi najua hamkosekani.
Wadada masikini na wasio na Bikra mada hii inaweza kuwaumiza lakini mtanisamehe.