mama watoto wangu nilimkuta bikra akiwa 23. ila wana wivu hadi unawaonea huruma kwasababu hawajawahi kuchanganya mapenzi.hawajui ladha tofauti tofauti kama haya manung'ayembe yanayozunguka barabarani na maofisini yakijifanya mazuri kumbe yamepitiwa na wanaume hata 50.
Sio kizito tu, pia kilikuwa na ncha kali.Kupigwa na kitu kizito kisogoni ndo huku😂
Anaweza kuwa bikra lakini hafurahishi moyo wako!Kwema Wakuu!!
Binti wa kuanzia miaka 18 kuendelea ni Mkubwa na anaweza kubeba majukumu Kama Mama, tofauti na Sisi wanaume ambao mpaka walau tufikishe miaka 25-27.
Ukibahatika maana ni bahati kukuta mwanamke Bikra mwenye umri wa miaka 18kuendelea Kwa Zama zetu.
Ukikutana na Mwanamke WA hivyo oa upesi.
Utakuja kunishukuru.
Hakuna Raha Kama ukutane na Mwanamke Bikra alafu uwe First love wake. Utakula maisha mpaka ukome.
Ninauzoefu na Jambo hili. Na wapo waliofuta ushauri wangu ni mashahidi. Wanakula Raha za maisha.
First love ndio mapenzi halisi, ndio upendo halisi
Kikawaida mwanamke Hapendi mara mbili.
Kikawaida mwanamke hapelekeshwi mara mbili.
Mwanamke akishatendwa na Mpenzi wake wa Kwanza hawi tena Kama alivyokuwa, upendo wake unashuka Kwa zaidi ya 50%.
Lakini ukiwa WA Kwanza atakupenda Kwa 100%.
Watu wengi wanasema wanawake ni wabinafsi na pesa Yao hailiwi, ni kweli Kama wewe sio First lover wa uliyemuoa lazima awe mgumu kwenye kukupenda Kwa moyo wake wote.
Najua kuna watu watabisha, lakini huo ndio ukweli. Hata wanawake wenyewe wanalijua hili.
Mwanamke anaumizwa mara moja tuu kwenye mapenzi, tena anaumizwa na Mpenzi wa Kwanza. Maumivu ya Mpenzi wa kwanza ni OG Kwa Asilimia 100% lakini wewe mwenzangu na miye sijui wakumi huko umuacha ataumia kidogo tuu.
OA mwanamke Bikra utakuja kunishukuru
Mwambie mama...Umeongea kwa uhakika na kuaminisha watu utadhani umeshawahi kua mwanamke [emoji1787]
Ukipata nafasi kama hizi, usiache kutuamsha ndugu zako.Siku hizi uzee unanisumbua Sana Mkuu
wengi ambao ni bikra, utakuta ni kwasababu ya dini, ila hawa nung'ayembe walioachwa wanazurura tu kama kware, hakuna bikra hata mmoja. kuna wanawake wengine hadi wameshasahau bikra ikoje na hawajafika 30.Kuna ninaesoma nae anadai ni bikira miaka ni 23, aliniambia kimakosa na alishtuka na kulaumu kwa nini alinambia. Ila kusema ukweli kwao wanambana sana mpaka nimeacha kumfuatilia. Mwanachuo gani kila weekend lazima aende nyumbani, holidays zote lazima, field anatafutiwa, kila ratiba yake inajulikana maana ana family member kwenye management ya chuo
LabdaUmeongea kwa uhakika na kuaminisha watu utadhani umeshawahi kua mwanamke [emoji1787]
Sinajinasasa[emoji16]Anaweza kuwa bikra lakini hafurahishi moyo wako!
Mimi nilishabikiri mwanamke na tuli enjoy mapenzi for so long, yaani tulikuwa tunatombana kwa hisia sana lakini hakuwa na sifa ninazotaka, alikuwa kwa ajili ya matumizi binafsi, ningemuoa angenisumbua sana hasa jinsi ninavyomfahamu na nyumba anayotoka.
Nikaoa mwingine ambaye haluwa bikra, wajanja waliwahi kumtoboa mapema ndo mama watoto wangu.
Huyo niliyemtoa bikra naye kaolewa lakini anampiga sana mumewe mlevi.