Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edited bro[emoji122][emoji122]
Inawezekana ulimpata akiwa bikra lakini sio first love, labda kama una tafsiri nyingine ya first loveMbona wangu nimempata akiwa Kidato cha sita??
Mbona wapo
Ukweli mchungu mkuu huoWengi wanatamani lakini uwezo hawana[emoji2][emoji2]
Nakuelewa vyema sana unachosema, ninacho jaribu kusema ni kwamba, inawezekana sawa ulimpata bikra lakini hapo nyuma aliwahi kuwa na first lover wake ambaye alimpenda kwa asilimia 100 lakini hawakuwahi kufanya mapenzi, sababu mimi pia ilinikuta, nilikuwa first love wa dem flani na alinipenda mnoo lakini sikuwahi kumnyandua.Kama ni mzoefu wa mapenzi huwezi shindwa kuelewa mambo madogo Kama haya.
Nakuelewa vyema sana unachosema, ninacho jaribu kusema ni kwamba, inawezekana sawa ulimpata bikra lakini hapo nyuma aliwahi kuwa na first lover wake ambaye alimpenda kwa asilimia 100 lakini hawakuwahi kufanya mapenzi, sababu mimi pia ilinikuta, nilikuwa first love wa dem flani na alinipenda mnoo lakini sikuwahi kumnyandua.
Vipi na wale wanaokuwa forced into marriages na watu wasio wapenda ili hali wakiwa bikra ??Huyo alikuwa rafiki yako sio Mpenzi Mkuu.
Huwezi muita Mpenzi mtu ambaye hujawahi kuhusiana naye kimapenzi.
Ila upo sahihi kabisa, mwanamke akitendwa anakuwa nyoka, hawezi tena kupenda.18 Kwa Mwanamke ni mtu mzima Kabisa.
Labda vijana
Ndo uone sasa utofauti kati ya kuwa first love na virgin breaker, unaweza ukawa first love na usiwe wakwanza kumtoa bikra na akakupenda kwa [emoji817] percent, nakubali sana mada zako ila kwa hili umepuyanga.Hiyo ni exceptional cases Kama vile waliobakwa pia ni exceptional