Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Qvumamayo once again
Umeanza nae vizuri, matokeo yake unaharibu sasa.. relax. Ni kweli mtume wa Allah Muhammad (SAW) alioa bi Khadija ambaye hakuwa bikra, lakini lazima ujiulize, bikra ya bi Khadija ilitolewa katika mazingira gani? Vichochoroni? Hapana. Bi Khadija na wake wengine ambao hawakua bikra wote waliolewa baada ya kufiwa na waume zao, ni wajane.. na Mtume alisisitiza sana suala la kuwafanyia uadilifu wajane na mayatima, ilibidi yeye aoneshe kwa vitendo!. Kwahiyo JokaJeusi yupo sahihi anaposisitiza bikra hasa kwa mtu ambaye hajaolewa.. maana ukiwa hujaolewa, na huna bikra, tafsiri yake ni MZINIFU, ni case tofauti kabisa na mtu ambaye aliolewa na mumewe kufariki na aliolewa akiwa bikra!.
Pia tukirudi katika hayo mafundisho, Mtume (SAW) alioa wanawake 9 na kati ya hao alioa BIKRA mmoja tu, bi Aisha, na kama umesoma vizuri dini, jambo liko wazi kuwa ndiye mwanamke aliyekua akipendwa zaidi na mtume kuliko wote, na hata kufa aliwaomba wake zake wengine wamruhusu akauguzwe na afie nyumbani kwa bi Aisha, nasisitiza Bi Aisha aliolewa akiwa bikra, HUNA CHA KUJIFUNZA HAPO??!
 
Ukweli mchungu niende moja kwa moja kwenye mada..Ndugu zangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitakuja kuona ndoa chungu ila kwa haya yanayoendelea najutaaa.

Mwanzoni kabisa nilipokutana na wife alinambia ameshakutana kimapenzi na mwanaume mmoja tuu na kwamba mimi ni wa pili. Sasa niliona kama ukweli lakini hapo alikuwa na 26 yrs na kamaliza chuo na alinambia huyo boyfriend wake walidate toka akiwa form 6. Basi nikaona isiwe tabu kidume nikapropose tukaingia kwenye ndoa na ni mwaka wa tano sasa.

Ndugu zangu katika miaka miwili ya mwanzo alikuwa haoneshi dalili yoyote kama ananisaliti na sikuwa kumfatilia toka tukiwa kwenye mahusiano. Siku moja nikamuomba tutoke twende beach tukapunge upepo. Tukaenda kidimbwi pale na tulikaa mpaka saa moja wakaja rafiki zake wawili ni "piru" yaan visu balaa.

Sasa mda huo tulikunywa sana tukawa tumelewa wote story zinaendelea na hao mashost zake nikaona nimcheki mwanangu mmoja aje tupate nae moja mbili. Sasa wakati nawaza kumcheki jamaa Wife akaniambia anataka tuondoke turudi home nikamwambia poa. Tunataka kutoka kumbe mke wangu alikuwa anataka kuondoka sababu kuna njemba ilikuwa ndio imeingia na ndio ilikuwa inamla alafu alimdanganya yuko single.

Amini kwamba dakika mbili baada ya mke wangu kuniambia tuondoke jamaa huyu hapa akamsalimia "Mambo baby" sikujua leo upo huku. Dah Nikapigwa na butwaa kama sekunde kadhaa wife nae kama anatetemeka na pombe zikaisha. Akamjibu nasikia ooh sorry nimekuja mara moja na "mashosti" zangu ila ndio tulikuwa tunaondoka.

Nikamuuliza wife huyu mshkaji ni nani. Akasema tukaongelee nyumbani kabla hajamaliza jamaa akadakia kwani wewe ni nani? ananiuliza mimi. Nikamwambia huyu ni mke wangu saa hiyo wife kakaa kimya kichwa chini. Basi jamaa akasema mke wangu ni manzi yake na wana miezi sita na alikuwa anajua wife anakaa na wazazi wake hivyo alikuwa anataka aje kujitambulisha siku za usoni. Basi mzee nilimkata ngumi moja japo ni kipande flani watu wakanishika pale tukatulizwa.
Kimbembe kikarudi home...

Ntarudi kuendelea

#Tairus#Bella ciao
 
Kuna watu watakuja kusema Tafuta hela...
 
Ila we jamaa ni boya. Ila fresh maboya nao wapo ili ecosystem ya mambo ya mahusiano iwe na balance.
 
Ukweli mchungu niende moja kwa moja kwenye mada..Ndugu zangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitakuja kuona ndoa chungu ila kwa haya yanayoendelea najutaaa.
Pole sana ila tambua sio wa kwanza kupata matukio, lisilo kuua hukuimarisha.
 
Ukweli mchungu niende moja kwa moja kwenye mada..Ndugu zangu sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitakuja kuona ndoa chungu ila kwa haya yanayoendelea najutaaa.
Anyway...

Mimi niendelee kuwashangaa wale ambao mnaona wanawake wasasa ni malaika.


Wanawake walikua miaka ya 1980 kushuka chini huko...yaan walotuzaa sisi.

Huku ndo waliolewa wakiwa wameshazaa na hawakuthubutu kuliwa nje.

Huko mwanamke Alikua anajua Ndoa ni IBADA.



hawa wa 1980+ , wanaliwa tuu ,asikudanganye. "hubby. Ohoooo nnn,ohooo nn wewe tuu, ohoooo ujinga gani"...

NI UONGO MTUPUUUU....

Akimkatalia Carlos,,, Kuna Muhuni atamla. akimkatalia Muhuni. Kuna Mwana anamla.


Hawa viumbe, ni kuwaona tu kama wanadamu walopewa FUKO LA KUBEBEA KIUMBE YAAN WATOTO ILI KUENDELEZA KIZAZI CHA WANADAMU.



Lkn uhalisia, wameshapoteza heshima kitamboooo sana, sio watu wa kuonea huruma ...


[emoji117]ALAFU,SIUNAONA MUUN AKACHOMEKEA " NILIKUA TAYARI NATAKA KUJITAMBULISHA "......


kwa kulikiri hilo, Kunampa Dem option ya maisha nje yako, LAKINI UJINGA WAKE, ATASAHAU KUA, MUHUN NAYE KESHAJUA DEMU HAFAI....nahivo hata akirudi , Atatumiwa kama ngono.



USHAURI WANGU KWENU MSOOA NA MLOOA.


[emoji117]Pitieni sana Maandiko yangu,, Maandiko yangu huwa naandika kwa sababu HIVI VIUMBE NAVIJUA MPAKA NAPITILIZA .....Mimi kuna wakat namtukana MTU matusi ya Nguoni, alafu baadae namtongoza, na Bado ananikubalia.......


[emoji117]MTOA MADA, ACHANA NA HUYO MWANAMKE....
Ndiooooo, Uachane naye kwa sababu maisha yako yote yalobakia HAUTAKAA KUA NA AMAN, KUENDELEA NAYE NI SAWA NA KUFUPISHA SIKU ZAKO ZA KUISHI.



[emoji117]WOMEN HAVE LOST RESPECT FOR THEMSELVES ....Msiwadekeze, msieafanye Malaika, wapigen vipigo visivyoua, watukaneni , wakalipieni , wakileta Ujinga. unamwacha, unakamata mwingine.

[emoji117]ZALISHEN, KAMA KUMUOA NI SHIDA, ZALISHEN.... MIMI SAIZI NAENDA KUA NA WATOTO WANNE, WA MAMA TOFAUTI TOFAUTI.


[emoji117]MWISHO UKITAKA KUOA, KAOE MWANAMKE MCHA MUNGU.TAFUTA BINTI MCHA MUNGU WA KWELI NA MWILI NA ROHO , MWANAMKE AMBAYE ANAJUA POMBE NI DHAMBI. UZINZI NI DHAMBI.....TAFUTA BINTI MCHA MUNGU AWE BIKRA AU ASIWE BIKRA, ANGALAU AKIWA MCHA MUNGU ANA NGUVU YA KUPINGANA NA ROHO WA NGONO .


lkn km mnabeba tu wa kuoa aaaaahhh Kila siku nawaambia, NGONO ni suala LA kiroho, UKISHATOMBANA NA MWANAMKE, UHAKIKA WA KUMLA MUDA WOWOTE, MIAKA YOYOTE, UPO 100%.




Huo ndio ukweli MCHUNGU... LIKE IT...OR NOT.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaonekana sio chai hii njoo utupe mkasa
 
Aiseee rudi Mkuu umalizie

Naweza nikatoa neno
 
duh
 
Kwema Wakuu!

Mimi ninachojua ni kuwa kila mwanamke atakayeolewa Kwa ndoa iwe ya Kanisani, msikitini au mahakamani au kimila, akaridhiwa na mume wake Kwa siku zile sita za fungate basi alikutwa Bikra.

Hakuna mwanamke ambaye hakuolewa bila ya kuwa na Bikra.

Siku za fungate ndizo siku ambazo mwanaume humkagua mke wake mpya kuwa ni bikra na anasifa zote au laa.
Ikiwa ataona kuna dosari yoyote Ile ikiwemo mwanamke sio msafi (hana bikra) basi anayo maamuzi ya kuvunja ndoa na kudai mahari yake. Hilo sio kosa hata kidogo ni haki na wajibu wa mwanaume kudai.

Ikiwa mwanaume atamaliza fungate na kumridhia mke wake mpya, basi itahesabika kuwa alimkuta mwanamke huyo akiwa msafi(Bikra) na mwenye sifa azitakazo hata Kama hakuikuta hiyo Bikra.

Kuoa mwanamke asiyebikra na ukamridhia kunatafsirika Kwa watu wa nje kuwa ulimkuta akiwa Bikra Safi.

Kuoa mwanamke asiye Bikra na ukamkagua wakati WA fungate ukamridhia kunathibitisha kuwa mwanamke huyo ni msafi na anakidhi mahitaji yako.

Hata kama Mwanamke Hakuwa na Bikra ukamuoa, kitendo cha wewe kumsema baada ya ndoa kuwa alikuwa na ma-ex wake aliolala nao kabla hujamuoa hayo yatahesabika kuwa matusi na udhalilishaji Kwa huyo mwanamke.

Na MWANAMKE anaouwezo wa kwenda kukushtaki popote Kwa kumdhalilisha.

Mwanamke anaouwezo wa kujitetea ulimkuta Bikra na ndio maana ulimuoa.
Na Kama hakuwa Bikra basi angekataa kuolewa na wewe kwani Hana sifa ya kuwa mke Bora. Lakini pia wewe Kama ungekuwa mume Bora ingefaa kumuoa kwani sio msafi.

Mimi ninachojua wanawake wote walioolewa walikutwa Bikra. Na hakuna mwanamke Malaya ikiwa ameolewa.

Kumuita Mkeo Malaya tafsiri yake Mwanaume haujielewi, umezubaa zubaa tuu.

Kama angekuwa Malaya usingemuoa, na Kama hukumtambua ni Malaya ndio maana ukamuoa basi huna sifa ya kuitwa mwanaume kwani unashindwa kujua mambo madogo Kama hayo.

Bikra matter's

Usioe Mwanamke asiye na Bikra.
Na Mwanamke usikubali kuolewa bila ya kuwa na Bikra.

Na endapo hauna bikra na uliolewa, unayohaki ya kusema alikukuta Bikra ndio maana alikuoa.

Kwa maana vitu used Kwa wengine ni vipya.
Hakuna anayependa kitu kilichotumika, lakini wapo wanaoviona vitu vilivyotumika Kama vipya Vile.
 
Kwa ndoa ipi?

Ya kimila,kanisani au kiserikali?
 
Nanukuu "Mwanamke Usikubali kuolewa kama huna bikra" Kwa maana unawasihi dada zetu wote wasiolewe? Maana siku hizi kumuoa mwanamke mwenye bikra ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Kwa ndoa ipi?

Ya kimila,kanisani au kiserikali?

Ndoa yoyote Kati ya hizo.
Mbona nimezitaja.

Hata kanisani au msikitini viongozi wa dini wanapofungisha ndoa huamini kuwa Mwanamke ni bikra. Uliza mchungaji au Sheikhe Yeyote 😀😀

Hakuna mchungaji au Sheikhe kweli anayefuata misingi ya Dini ambaye atafungisha ndoa ya watu wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…