Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ukimpata njoo hapa holiday inn roof top nikununulie dinner🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mwanawane upo vizuri sana, hadi offer ya holiday inn.. acha nipambanie kombe kuna mmoja anaonekana Bikra kabisaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
πŸ€•kumbe nabishana na mtoboaji na kuacha....afu anakuja Jf kuwaponda wanawake wasio na bikra.Hakika mara mia angetumia p2 mama wa watu.Una moyo mbaya sana
Sorry sana ni hatia kubwa lkn lazima nitamtafuta mmoja wapo nije nioe, ujana tu bi mdashi.
 
Bikra wengi nasikia hawana ladha et!
Kuhusu bikra haihusiani na ladha ila mwanamke akiolewa akiwa bikra hana sehemu ya kufanya ulinganifu (comparison) na hiyo inakuwa inafit kwa mhusika sasa oa mwanamke ambae tayari kaishapitiwa na njemba hata sita halafu wewe ni wa saba lalzima kwenye akili afanye ulinganifu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukioa bikra kuna uwezekano mkubwa wa ndoa kudumu, hata kama una kiba 100 anaona sawa, lakini ukioa gube gube lishatest matango zaidi ya elfu 10 ni ngumu kutulia.

Hivi ni furaha iliyoje unaoa kitu piru kisaafi, dah nyie acheni utani, ni heshima.
 
Watu wanamlilia wema sepetu halafu mpaka leo hawajawahi kumuonja...

Ila wengi wanapenda vilivyotumiwa aise..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…