Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Haya Beesmom Mamndenyi Hannah hebu tuelezeni mwenzenu ameweza vipi mpaka umri huo?
Screenshot_20220926-210132_Instagram.jpg
 
Haya mambo Ni mepesi Sana kuyaongelea kwenye key board ( keyboard heroes [emoji23][emoji23])

Njoo huku ukerewe alafu uwaambie hizo siju sjamkuta na bikra uone Kama hujaoteshwa busha

Labda uache kutumia maji maisha yako yote.....coz ukigusa tu kikombe cha maji .....unakuta mamba huyo....
 
Naunga mkono hoja. Juzi Kati tupo Uganda jamaa anamchumbia demu single mother ana miaka 37 , wazazi wakaanza na milioni kumi na tano ya Uganda ambayo ni kama 12 hivi ya kibongo then wakashuka HADI milioni tano ya kibongo eti ndio mwisho wao. Tukatoka nje kujadiliana na mshenga Bwana harusi akaulizwa kama ana mchumba mwingine of which he said he has then tukarejea zetu mjini darusalama jamaa akaoa binti wa ki islamu swaafi baada ya wiki mbili watu wa uganda wakaanza kumsumbua mshenga mmefikia wapi mshenga akawaambia Mwambie bibi harusi mtarajiwa aongee na mwenzake demu anapiga simu kwa jamaa , jamaa anamwambia me nimeshaoa tena ndoa ya kiislamu kama unaweza uje uwe mke wa pili
 
😂😂😂

Vitisho hivyo.
Huwezi waambia hukumkuta Bikra kwani hayo yenyewe ni matusi, na pia unaweza pigwa faini Kwa kumharibu binti Yao hata kama ulimkuta kaharibiwa,
Wazazi wao kimila wanaamini ukienda kutoa mahari binti Yao ni bikra 😀😀
Na kimila na kidini inaruhusiwa kumuacha mwanamke siku ya ndoa ukilala naye kama haujakuta Bikra.

Labda mshenga wako ndio aseme, kuwa Kwa vile wamemtunza binti wao vizuri sio kitabia tuu Bali kimwili na kiakili basi mpo tayari kutoa hiyo mahari au gharama yoyote.
 
Naunga mkono hoja. Juzi Kati tupo Uganda jamaa anamchumbia demu single mother ana miaka 37 , wazazi wakaanza na milioni kumi na tano ya Uganda ambayo ni kama 12 hivi ya kibongo then wakashuka HADI milioni tano ya kibongo eti ndio mwisho wao. Tukatoka nje kujadiliana na mshenga Bwana harusi akaulizwa kama ana mchumba mwingine of which he said he has then tukarejea zetu mjini darusalama jamaa akaoa binti wa ki islamu swaafi baada ya wiki mbili watu wa uganda wakaanza kumsumbua mshenga mmefikia wapi mshenga akawaambia Mwambie bibi harusi mtarajiwa aongee na mwenzake demu anapiga simu kwa jamaa , jamaa anamwambia me nimeshaoa tena ndoa ya kiislamu kama unaweza uje uwe mke wa pili

😂😂😂

10M
Labda kama ni maigizo ya kina Diamond
 
Back
Top Bottom