YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kwani wanaume mabikira?BILA BIKIRA NO MAHARI
Kijana wa kiume anajuaje kuwa akioa anatakiwa kufanya nini kitandani kwa mwanamke? Kayajulia wapi?
Ubikira sio wa mwanamke pekee je mwanaume Bikira? Yaani ahojiwe unataka kuoa ili iweje ?
Mleta mada shoga tu hilo wazazi wake na ndugu komaeni kabla hajatoka public kuwaaibisha mbele ya vyombo vya habari na kujitangaza shoga na kuharibu majina yenu ya ukoo
Mdhibitini mapema ndugu zake huyu shoga mleta mada bila woga wala nini kabla ukoo wenu haujaharibiwa Jina watu waoane ukoo ambao mnazalisha mashoga