a hope
Senior Member
- Oct 23, 2022
- 163
- 342
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sina muda nao,waache warushe tu hayo mabomuUmesha jiandaa kukwepa mabomu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi sina muda nao,waache warushe tu hayo mabomuUmesha jiandaa kukwepa mabomu ?
Zipo bikra za kichina, zile bikra OG zilishapoteaga siku mingi sana!!Hivi hapa mjini kuna wanawake wana bikira.
Above 18 years.
Za kichina zinakuaje.Zipo bikra za kichina, zile bikra OG zilishapoteaga siku mingi sana!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ziko Kama Kuku wa kisasa! Na zile OG ziko Kama Kuku wa Kienyeji!!Za kichina zinakuaje.
Usitafutee sehemu ya kujificha.... Kuolewa bila bikra ni rahana ambayo hatujui namna inavyotutafunaammnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….
sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….
24+ kukutwa na bikira wachache mkuu
sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira
Wasio nazo wamekujaa[emoji38][emoji38][emoji38]Bikra nyingi zina usumbufu sana. Nashauri kuzisahau tu maana siku hizi hakuna kabisa.
Hata ardhi bikra ziliisha watu wanaparamia mwezini huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Weka picha, bila picha wewe ni MwongoZiko Kama Kuku wa kisasa! Na zile OG ziko Kama Kuku wa Kienyeji!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wanachukia Kwa kuwa tunawafanyia unafiki,hizo bikra tunazitoa sisi wenyewe na Kisha tunawatukana kuwa ni MalayaWanawake Pale unapowaambia lazima wanaume wasafi tuoe bikra Basi wanachukia Sana na kukuona Adui yao Mkubwa
Aisee Mimi naona watuache kwanza tutimize Ushuhuda maana sisi wengine hatujawai chezea wanawake. Au kutoa hizo bikra so watuache.Wanachukia Kwa kuwa tunawafanyia unafiki,hizo bikra tunazitoa sisi wenyewe na Kisha tunawatukana kuwa ni Malaya
Utoaji wa bikra hufanywa na wanaume,sasa unafikiri lawama inapaswa ziende Kwa nani!?Aisee Mimi naona watuache kwanza tutimize Ushuhuda maana sisi wengine hatujawai chezea wanawake. Au kutoa hizo bikra so watuache.
Wajilaumu wao wenyewe kwa kushindwa kujitunzaUtoaji wa bikra hufanywa na wanaume,sasa unafikiri lawama inapaswa ziende Kwa nani!?
Na wakijitunza izo bikra anaenda kuzitoa nani!!?Wajilaumu wao wenyewe kwa kushindwa kujitunza
Kwenye ndoaNa wakijitunza izo bikra anaenda kuzitoa nani!!?