Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kuna wanaume 5 kwenye chumba chenye wanawake 10.

Kila mwanaume anataka kuoa bikra mmoja,

kila mwanaume ana tamaa ya kudanganya mwanamke na kutoa angalau bikra 3 kabla ya kutulia na kuweka ndani bikra mmoja.

Kama kila mwanaume atafanikiwa kuhadaa wanawake angalau 2 na kutoa bikra zao, Bikra ngapi zitabaki kwa ajili ya wanaume 5?

UKIWA NA JIBU LA SWALI HILI HUTASHANGAA KUHUSU BIKIRA ZA MABINTI ZETU
 
Kama na wewe ni bikra na haujui kabisa hata inapochomekwa basi ni halali yako kuoa bikra!
 
Habari yenu vijana na wanaume wenzangu wachakataji

Katika maisha ya hapa duniani wanawake na mabinti wamekua wakipambana kuhakikisha wanamuangusha chini mwanaume au kijana kwa kila namna..wengine wanampima mwanaume na wakijua wanauwezo wa kumtangulia mbele kifikra, mipango na kiuchumi basi wanamgandamiza sana..

Sasa kijana unaechipukia kwenye mahusiano au ewe mwanaume ulie kwenye mahusiano. Kama hukumkuta mpenzi wako bikra na akakuambia ilitolewa na baiskel amini na kuambia usimsikilize kabisa wala kukubaliana nae kwa namna yeyote ile..

Hawa wanawake ni wajanja sana hivyo hakikisha asiwe mjanja kukuzidi wewe hakika utaumia sana

Japo msiwakatae ambao sio mabikra kikubwa ni upendo ila hakikisha hajazaa kabisa. Ila ewe kijana au mwanaume kumbuka neno hili katika kumchunguza chunguza akikuambia Bikra yake ilitolewa na baiskeli kataa kabisa huu ulaghai wao kataa kwa nguvu zako zote kadiri uwezavyo na muonyeshe wazi kabisa hukubaliani na huo uongo wake , ni heri huyo mwanamke akae kimnya tuu kuliko akuambie baiskeli ndio ilisababisha ubikra wake ukatoka, tena ikiwezekana piga chini kabisa na kimbia mbali nae ukiweza

Ni mara mia zaidi kua na mwanamke asie bikra na ambae hajazaa kuliko kua na mwanamke asie bikra anae kudanganya eti alitolewa ubikra wake na baiskeli ...

Nb.. kama ni wakusuuzia rungu suuza kwa uangalifu sana na kimbia
 
Kuna wanaume 5 kwenye chumba chenye wanawake 10.

Kila mwanaume anataka kuoa bikra mmoja,

kila mwanaume ana tamaa ya kudanganya mwanamke na kutoa angalau bikra 3 kabla ya kutulia na kuweka ndani bikra mmoja.

Kama kila mwanaume atafanikiwa kuhadaa wanawake angalau 2 na kutoa bikra zao, Bikra ngapi zitabaki kwa ajili ya wanaume 5?

UKIWA NA JIBU LA SWALI HILI HUTASHANGAA KUHUSU BIKIRA ZA MABINTI ZETU
Huwezi kutumia sample yenye ratio ya 1:2 kwenye kutoa recommendation halisi..

Duniani tumeumbwa kwa ratio hii 1:1000

Yaani kwenye kila mwanaume mmoja kuna wanawake 1000..

Sijui umeelewa sasa
 
Huwezi kutumia sample yenye ratio ya 1:2 kwenye kutoa recommendation halisi..

Duniani tumeumbwa kwa ratio hii 1:1000

Yaani kwenye kila mwanaume mmoja kuna wanawake 1000..

Sijui umeelewa sasa
Usifanye mambo yawe magumu.....

Huo ni mfano kuonyesha kuwa Wanaotoa bikra ni wanaume na wanaohitaji bikra ni wanaume. Kama wanaume wakijua namna bora ya kuhandle mahusiano bikra hazitakuwa adimu.
 
Habari za jumapili!

Kama kichwa kinavyojieleza, huu ni mwaka wa 10 tangu nimemuoa mke wangu niliyemkuta bikra. Nilifunga ndoa 15 May 2013. Tangu nimemuoa huyu mtoto, ninakiri mimi ni mwanaume mwenye bahati kubwa.

Kanuni iliyoniongoza ni kuoa mwanamke bikra, nafaidi matunda ya kanuni hii. Nawakaribisha vijana wote kwenye Bikra Festival Anniversary, wiki ijayo.

Oa mwanamke bikra, bikra ndio mpango, epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom