Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kwenye ndoa ataitoa nani!?Kwenye ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ndoa ataitoa nani!?Kwenye ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🤌Ila jamani kweli mwanaume anataka bikra alafu yeye mwenyewe kashapiga Hadi threesome anajiandaa sijui na foursomes.
Kila mtu apate wa kufanana nae
Haaaaaaa umeongea kwauchungu na hisia kali mkuuMimi...wala sijali kuhusu bikra...wala hainiumi
Mpaka kufikia hatua ya kuandika means it pains youMimi...wala sijali kuhusu bikra...wala hainiumi
Anayezitoa ni mwanaume aliyemkubalia amwingilieNa wakijitunza izo bikra anaenda kuzitoa nani!!?
Ukweli unauma always kwa hawa viumbeWanawake Pale unapowaambia lazima wanaume wasafi tuoe bikra Basi wanachukia Sana na kukuona Adui yao Mkubwa
Huwezi kutumia sample yenye ratio ya 1:2 kwenye kutoa recommendation halisi..Kuna wanaume 5 kwenye chumba chenye wanawake 10.
Kila mwanaume anataka kuoa bikra mmoja,
kila mwanaume ana tamaa ya kudanganya mwanamke na kutoa angalau bikra 3 kabla ya kutulia na kuweka ndani bikra mmoja.
Kama kila mwanaume atafanikiwa kuhadaa wanawake angalau 2 na kutoa bikra zao, Bikra ngapi zitabaki kwa ajili ya wanaume 5?
UKIWA NA JIBU LA SWALI HILI HUTASHANGAA KUHUSU BIKIRA ZA MABINTI ZETU
Usifanye mambo yawe magumu.....Huwezi kutumia sample yenye ratio ya 1:2 kwenye kutoa recommendation halisi..
Duniani tumeumbwa kwa ratio hii 1:1000
Yaani kwenye kila mwanaume mmoja kuna wanawake 1000..
Sijui umeelewa sasa