Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una hela za kuchezea😂Unajua lakini maana ya Anniversary Mkuu?
Wee njoo kwenye sherehe hayo mengine Achana nayo
sawa mkuu usisahau kuweka pombeeee.....Hiyo ndio kazi ya hela, mje bhana, sherehe ni Watu.
Najua kuna mafisi yatakuja Kwa lengo la Kutaka kumtongoza Mke wangu. Hao nao nawakaribisha
Kwa hali ilivyo unaweza kukosa Mabinti Bikra kwenye event yako.
Juzi nilipata mshtuko kusikia binti wa darasa la 5 eti anapiga mpira kwa miguu yote kama Ronaldo.
Kweli Vijana wetu kazi wanayo huko ndoani 🙌
Dogo sisi wazee kuliko wewe siku ukichapiwa ndio utaelewa😅 mengine fanya Siri na mkeoHiyo waambie ambao ni wachanga kwenye Ndoa.
Labda ulegeze masharti, iwe Bikra iliyotolewa miaka 10 iliyopita 😅Ngoja tutaona itakavyokuwa