Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ukimpata njoo hapa holiday inn roof top nikununulie dinner🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwanawane upo vizuri sana, hadi offer ya holiday inn.. acha nipambanie kombe kuna mmoja anaonekana Bikra kabisaa 😃😃😃
 
Bikra wengi nasikia hawana ladha et!
Kuhusu bikra haihusiani na ladha ila mwanamke akiolewa akiwa bikra hana sehemu ya kufanya ulinganifu (comparison) na hiyo inakuwa inafit kwa mhusika sasa oa mwanamke ambae tayari kaishapitiwa na njemba hata sita halafu wewe ni wa saba lalzima kwenye akili afanye ulinganifu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Watu wanamlilia wema sepetu halafu mpaka leo hawajawahi kumuonja...

Ila wengi wanapenda vilivyotumiwa aise..
 
Back
Top Bottom