🤣🤣🤣Nisamehe bhana ...nimepoa Sasa😜
🤣🤣NashukuruNimeshamwambia siwezi kuoa kiswaswadu.
🤣tunashukuruHakika mkuu upo sawa, na kila ndoa ya madunga nyembe tumekubaliana kuwa hatutawavisha shela nyeupe bali watavaa midabwada yenye rangi nyekundu na nyeusi kama wachawi.
Ndo ukweliWatu wanamlilia wema sepetu halafu mpaka leo hawajawahi kumuonja...
Ila wengi wanapenda vilivyotumiwa aise..
🤣🤣🤣jamani🙌 madini ganHuu uzi una madini sana ngoja niendelee kusoma comments..
Hakuwepo wa kumtomgozaHaya Beesmom Mamndenyi Hannah hebu tuelezeni mwenzenu ameweza vipi mpaka umri huo?View attachment 2369143
[emoji23][emoji23]Hakuwepo wa kumtomgoza
Haya mambo Ni mepesi Sana kuyaongelea kwenye key board ( keyboard heroes [emoji23][emoji23])
Njoo huku ukerewe alafu uwaambie hizo siju sjamkuta na bikra uone Kama hujaoteshwa busha
Labda uache kutumia maji maisha yako yote.....coz ukigusa tu kikombe cha maji .....unakuta mamba huyo....
Naunga mkono hoja. Juzi Kati tupo Uganda jamaa anamchumbia demu single mother ana miaka 37 , wazazi wakaanza na milioni kumi na tano ya Uganda ambayo ni kama 12 hivi ya kibongo then wakashuka HADI milioni tano ya kibongo eti ndio mwisho wao. Tukatoka nje kujadiliana na mshenga Bwana harusi akaulizwa kama ana mchumba mwingine of which he said he has then tukarejea zetu mjini darusalama jamaa akaoa binti wa ki islamu swaafi baada ya wiki mbili watu wa uganda wakaanza kumsumbua mshenga mmefikia wapi mshenga akawaambia Mwambie bibi harusi mtarajiwa aongee na mwenzake demu anapiga simu kwa jamaa , jamaa anamwambia me nimeshaoa tena ndoa ya kiislamu kama unaweza uje uwe mke wa pili
MWANAMKE ASIYEKUWA NA BIKRA HAFAI KUOLEWA KWA MAHARI,INAPASWA ATOLEWE BURE!.
Mwanzoni ulianza vizur,,,halafu katikati ukaleta ukakasi ila mwishoni nimekuelewa Kwa maneno haya:
"Hata hivyo, kama unajitambua pia usikubali kuoa bila ya kutoa mahari."
Tena mzee kashupaza shingo kabisa eti kisa demu mwana sheria . Mafi yake😂😂😂
10M
Labda kama ni maigizo ya kina Diamond
Tena mzee kashupaza shingo kabisa eti kisa demu mwana sheria . Mafi yake
hii mada yamoto