Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Wapo kaka jamaa yangu kaoa juzi binti safi kabisa kazindua mwenyewe.. turudi kwenye utaratibu wa kuangalia familia na malezi mema bikra hauwezi kukutana nayo kama haujaweka nia hiyo wenzetu Visiwani wanaoa bikra tu sababu ya malezi

Bikra unapima Kwa macho?

Binti anaweza asiwe bikra na familia isijue anything

Hata huko Zanzibar wengi sio bikra ila ni wasiri Sana wa mambo yao
 
Mwanamke bikra ni hatar zaidi kwenye ndoa kuliko asiye bikra , sku akionja kidog nje atakusumbua Sana unless uishi naye porini huko huko , wahuni wenye verosa wasimuone
 
Wanaume sisi ndio tunatoa bikira za mabinti, wakati wa kuoa tunaeka kigezo cha bikra kiwe ni cha mke tunaeoa, hlf tunatafuta bikra tuoe, tukikosa bikra wa kuoa, tunalalamika mabikra hawapo, inashangaza sana
 
Bikra zipo nyingi mkuu,tembelea vyuo vya certificate,diploma na universities deal na first year huwezi kosa.
Hao walisha banduliwa sana wakiwa O’level na A’level yani InShot mabinti wa siku hizi ni nadra sana kuwakuta na hiyo purely and original virgin vinginevyo unakutana na zakutengeza na vilio vingi utahisi wewe ndie legend ulitunukiwa heshima ya uzamiaji 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom