saadala muaza
Member
- May 12, 2023
- 38
- 38
Na ili uwe mwanaume lazima uwe mwenye kufanya maamuzi magumuMwanangu ni hatar😁😁😁😁 kuoa ni hatua yenye maamuzi ya kiume....ukifata washauri wengi wengi huwez oa , kwenye biblia kuna mwamba alimuoa Rahabu ambaye alikuwa ni kahaba Ila biblia ilimsifu