Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mwanangu ni hatar😁😁😁😁 kuoa ni hatua yenye maamuzi ya kiume....ukifata washauri wengi wengi huwez oa , kwenye biblia kuna mwamba alimuoa Rahabu ambaye alikuwa ni kahaba Ila biblia ilimsifu
Na ili uwe mwanaume lazima uwe mwenye kufanya maamuzi magumu
 
Wapo kaka jamaa yangu kaoa juzi binti safi kabisa kazindua mwenyewe.. turudi kwenye utaratibu wa kuangalia familia na malezi mema bikra hauwezi kukutana nayo kama haujaweka nia hiyo wenzetu Visiwani wanaoa bikra tu sababu ya malezi
Zipo za kichina ndugu,unayo habari?
 
Bikira ina umhimu gani kama baada ya kubikiriwa na mumewe tunagonga bila maelezo?
 
Hiyo tamaduni ya kuoa bikra tu imeanza kwa waarabu, na ndio chanzo cha tabia za wanawake kufi-rwa , sababu akitoa mbele hataolewa, kwahiyo wao kabla ya ndoa ni kuliwa makalio tu, hadi ana miaka 30 anaolewa bado bikra tu, ila nyuma hapafai
Sio kweli,ikiwa mwanamke anafanywa nyuma utamjua tu.
1.Njia ya makalio hata akivyaa nguo nzito,inajionyesha iko wazi.
2.Ukimwangalia kwenye nyao,utaona kuna mvungu.
 
Ukute we mwenyewe ni malaya uliyetukuka alafu bado unatafuta uoe bikra.
Mimi kwa vurugu ambazo nshafanya, yeyote yule sawa kikubwa ajielewe tu.
Hahah hahaha utachukua kulingana na mwenendo wako
 
Screenshot_20230504-071306_Chrome.jpg


Screenshot_20230503-203806.jpg
 
Back
Top Bottom