Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Chungwa ya Suma lee...
 
mara ya mwisho ni Dec 2020
ikaja nikaloweka tena majuzi hapa tar 05/08

karibia miaka mitatu hapo, kama arithmetic progression itakaa vyema, kuja kuunga vikojoleo tena ni mpaka 04/03/2026 panapo uhai
Dah! Sema hii siigilizii hta kidgo
 


Wanaume ni wabinafsi na watu wa ajabu, unaweza kuta umeandika yote haya ila ushatoa bikra za binti za watu 6.
 
Wanaume ni wabinafsi na watu wa ajabu, unaweza kuta umeandika yote haya ila ushatoa bikra za binti za watu 6.
Wew unapingaga sn wanaume wenzio sijui jinsia gn ww na uko upande upi yani
 
TAFUTENI HELA NUKTA.
Wenye hela hawana muda na bikra, masikini mna mbwembwe sana au sio baby Glenn
Ni kweli ndio maana tunataka kuwarudsha ktk uasilia maana wengi wao wamepumbazwa na pesa walizo nazo bila kujua wanajikosesha haki yao ya msingi ya ndoa kwa kuoa mwanamke asie na bikraaaa
 
Ni kweli ndio maana tunataka kuwarudsha ktk uasilia maana wengi wao wamepumbazwa na pesa walizo nazo bila kujua wanajikosesha haki yao ya msingi ya ndoa kwa kuoa mwanamke asie na bikraaaa
Haki imeandikwa wapi😄😄? Na nyie mnajitunza??
 
Si support jinsia, na support idea. Hakuna vita ya mwanaume na mwanamke, kuna hoja.
Hoja iliyopo mezani inahusisha jinsia ya kike na kiume, kwa maelezo yko wew upo upande wa wanawake unawatetea mara zte, kutwa kupinga male figures ideologies
 
Haki imeandikwa wapi[emoji1][emoji1]? Na nyie mnajitunza??
Haki ya mwanaume ya kujipenda kwa kujiolea mwanamke sealed na ni haki ambayo haijaandikwa kwenye katiba ya nchi Bali itabaki kuwa ni haki yake ya msingi especially kwa anayejielewa juu suala hilo

Alafu kuhusu kujitunza sasa wew endelea kushindana na mwanaume matokeo yke ndio hayo mnabaki kuwa masingle mother mtaani hamuoleki sabab ya kutokujitunza
 
Niko kwenye ndoa muda mrefu sana, jitunzeni pia kwani kuwa mwanaume ndio kufunua funua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…