Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Binafsi sijawahi jua faida ya bikra kwa mwanamke zaidi ya nachopenda kwake tabia njema tuUkitaka salamu nenda Pemba & Unguja,kwangu utaula wa chuya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sijawahi jua faida ya bikra kwa mwanamke zaidi ya nachopenda kwake tabia njema tuUkitaka salamu nenda Pemba & Unguja,kwangu utaula wa chuya...
Chungwa ya Suma lee...Huo ni mtazamo potofu
Kuna walioolewa bila bikra na wametulia kwenye ndoa zao,kuna wanaoolewa na waliotolewa bikra ila huko mbele akichepuka kidogo umeisha bro mana atajua kumbe siku zote alikua anakosa uhondo inshort anajiona mshamba!
We omba Mungu akupe mke,nyingine mbwembwe tu!
mara ya mwisho ni Dec 2020
ikaja nikaloweka tena majuzi hapa tar 05/08
karibia miaka mitatu hapo, kama arithmetic progression itakaa vyema, kuja kuunga vikojoleo tena ni mpaka 04/03/2026 panapo uhai
Dah! Sema hii siigilizii hta kidgomara ya mwisho ni Dec 2020
ikaja nikaloweka tena majuzi hapa tar 05/08
karibia miaka mitatu hapo, kama arithmetic progression itakaa vyema, kuja kuunga vikojoleo tena ni mpaka 04/03/2026 panapo uhai
PESA NINAZO,SIWEZI KUOA JITU LILILOKWISHA MVUALIA CHUPI MWANAUME MWINGINE HALAFU UKASEMA NI MKE KUMBE NILI MALAYATAFUTENI HELA NUKTA.
Wenye hela hawana muda na bikra, masikini mna mbwembwe sana au sio baby Glenn
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako
Habarini Wakuu.
Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka dunia salama hasa katika kipengele cha mahusiano ndani ya ndoa.
Haijalishi tulikosea wapi na kujikwaa wapi. Makosa tuliyoyafanya tuhakikishe hayajitokezi kwa wana na binti zetu. Ili familia zetu ziweze kuwa bora na zenye baraka kwa Mungu.
Bikra ni alama aliyopewa mwanamke kuthibitisha kuwa hajaguswa na mwanaume. Kwa nini Mwanamke apewe alama hii? Nitakupa mfano, Ukienda kununua kitu dukani kuna alama fulani huwekwa katika kitu husika ikiashiria kitu hicho ni kipya. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke, bikra ni uthibitisho namba moja kuonyesha mwanamke husika ni kigoli, mwanawali na ambaye hajaguswa. Mwanaume hajapewa alama hii kwani yeye hayupo kwaajili ya mwanamke bali mwanamke kwaajili ya mwanaume. Hivyo ni kusema mwanaume ndiye mwenye wajibu wakumtafuta mwanamke kama bidhaa yenye thamani kushinda zote duniani.
Ili ndoa zetu zidumu lazima jambo hili lizingatiwe. Watu wengi wanachukulia ni jambo jepesi lakini athari zake zinaonekana. Usishangae kusikia watu kudhihakiana kwa majina elfu. Mara kibamia, sijui Bwawa haya yote ni matokeo ya kuoa wanawake wasio bikra.
Tuje kwenye maandiko;
Kumbukumbu la torati 22:
13 Mtu akitwaa mke, akamwingilia na kumchukia,
14 kisha akamshitaki mambo ya aibu kumzushia jina baya, akasema, Nimemtwaa mwanamke huyu, nami nilipomkaribia sikuona kwake alama za ubikira;
15 ndipo babaye yule kijana na mamaye watakapotwaa alama za yule kijana za ubikira, wawatolee wazee wa mji langoni;
16 na baba yake yule kijana awaambie wazee, Mwanamume huyu nilimpa binti yangu awe mkewe, naye amchukia;
17 angalieni, amemwekea mambo ya aibu, asema, Sikuona kwa binti yako alama za ubikira, nazo hizi ndizo alama za binti yangu za ubikira. Na wayakunjue yale mavazi mbele ya wazee wa mji.
18 Basi wazee wa mji ule na wamtwae yule mtu mume na kumrudi,
19 wamtoze shekeli mia za fedha, wampe babaye yule kijana, kwa kuwa amemzulia jina baya mwanamwali wa Israeli; naye awe mkewe; hana ruhusa ya kumwacha siku zake zote.
20 Lakini likiwa ni kweli neno hili, la kutoonekana kwake yule kijana alama za ubikira;
21 na wamtoe nje yule kijana mlangoni pa nyumba ya baba yake, na waume wa mji wake wampige kwa mawe hata afe; kwa vile alivyofanya upumbavu katika Israeli, kwa kufanya ukahaba katika nyumba ya baba yake; ndivyo utakavyoondoa uovu katikati yako.
Aya hizo zinaonyesha jinsi gani Bikra ilivyomuhimu kwa watu makini. Mwanamke asiye na alama za ubikira humdhalilisha Baba yake kwani inatafsirika alifanya ukahaba katika nyumba ya baba yake. Au huenda Baba yake ndiye aliyembikiri.
Pia hufanya familia husika kuonekana ni familia ya kikahaba na uzinifu jambo ambalo ni aibu kwa familia na ukoo kwa ujumla.
Aya hizo pia zinaonyesha kuwa mwanaume anayohaki ya kudai bikira kwa mke wake endapo hajaikuta. Jambo ambalo kwa ulimwengu wa sasa wanawake wengi wasingeolewa na kuishia kuwa makahaba wa mjini.
mambo ya walawi 21
13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.
15 Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi Bwana nimtakasaye.
Aya hizo zinamhusu mtu yeyote makini, mwenye kumcha Mungu, anayetaka utakatifu na anayetaka ukoo na kizazi chake kiwe kitakatifu.
Ili familia isiwe najisi basi lazima mwanaume aoe mwanamke Bikra, Asioe mjane au mwanamke aliyeachwa na mtu mwingine au kuokota wanawake kwenye mabaa. Lengo ni kutokitia kizazi chake unajisi.
Kutokana na shetani kutamalaki, watu siku hizi huokota okota tuu wanawake popote. Wengine huokotana Baa na kwenye kumbi za starehe. Wengine huenda kabisa kwenye madanguro na kujichukulia wake ilimradi tuu. Watu wa namna hii hukutwa na madhila makubwa ndani ya ndoa. Kama si kuzaa watoto mashoga,basi ni wasagaji. Kama si wasagaji hupata watoto malaya na makahaba. Ni rahisi watoto kuzalia nyumbani kwani Baba na mama ni wale wale tuu.
Hapo hapo utasikia mwanaume anakibamia au hana nguvu za kiume. Au mke wangu ana K kubwa au sio mtamu. Ulijuaje mkeo sio mtamu kama hukuwahi onja vya nje.
Mwenye jukumu la kulinda bikra ya mtoto ni nani?
Jibu ni moja, Ni mzazi.
Wazazi ndio watu pekee wenye jukumu la kuilinda bikra ya mtoto wao. Changamoto inatokea pale endapo Mama hakuweza kulinda bikra yake sembuse ya mtoto. Baba naye aliuziwa mbuzi kwenye gunia hawezi kuwa na muda huo.
Lutu alikuwa ni mzazi wa kiume lakini aliweza kujua kuwa mabinti zake ni bikra. Utajiuliza alijuaje. Ni rahisi kwa Baba mwenye kujali familia yake kujua kinachoendelea kwa watoto wake. Lakini wababa wazembe na wanaoaibisha ubaba wao huuliza maswali yakijinga kama Mimi ni Baba nitawezaje kulinda bikra ya binti yangu. Jibu ni kuwa huwezi ikiwa mwenyewe ulichukua mtu asiye na bikra.
Kwa upande wa wachungaji, maaskofu na mapastor. Hii kwao ni moja ya sheria kubwa na muhimu. Mchungaji hawezi kukamilika ikiwa amechukua vitu vya mtumba. Ndio maana baadhi ya Wachungaji wa siku hizi wapo wapo tuu. Hawana tofauti na watu wa mitaani.
mambo ya walawi 21
13 Naye atamwoa mwanamke katika ubikira wake.
14 Asitwae mjane, wala mwanamke aliyeachwa na mumewe, wala mwanamke mwenye unajisi, wala kahaba; lakini atamwoa mwanamwali katika watu wake mwenyewe.
15 Naye asiwatie unajisi kizazi chake katika watu wake; kwa kuwa mimi ndimi Bwana nimtakasaye.
Nawasilisha.
Nakaribisha hoja na mapovu yenye hoja pia. Hoja zijikite kwenye maandiko ya kwenye biblia.
==============
Kwa nini maaskofu/ wachungaji hawaoi bikra; Je, wameasi kanuni zao?
===============
Somo Muhimu la Kuhusu Bikra
===========
Mwanamke Bikra ndiye Mke bora
=========
Bikra ni kapu la ndoa
===============
Madhara makuu ya kuoa mwanamke asiye na bikra
================
Kuoa mwanamke bikra sio kinga ya mkeo kutokukusaliti
Kelele za mkosajiPESA NINAZO,SIWEZI KUOA JITU LILILOKWISHA MVUALIA CHUPI MWANAUME MWINGINE HALAFU UKASEMA NI MKE KUMBE NILI MALAYA
Kuoa mwanamke asie bikra kwa mwanaume anayejielewa ni kujikosesha haki ya msingi kizembe kbs,Kelele za mkosaji
Wew unapingaga sn wanaume wenzio sijui jinsia gn ww na uko upande upi yaniWanaume ni wabinafsi na watu wa ajabu, unaweza kuta umeandika yote haya ila ushatoa bikra za binti za watu 6.
Ni kweli ndio maana tunataka kuwarudsha ktk uasilia maana wengi wao wamepumbazwa na pesa walizo nazo bila kujua wanajikosesha haki yao ya msingi ya ndoa kwa kuoa mwanamke asie na bikraaaaTAFUTENI HELA NUKTA.
Wenye hela hawana muda na bikra, masikini mna mbwembwe sana au sio baby Glenn
Haki imeandikwa wapi😄😄? Na nyie mnajitunza??Ni kweli ndio maana tunataka kuwarudsha ktk uasilia maana wengi wao wamepumbazwa na pesa walizo nazo bila kujua wanajikosesha haki yao ya msingi ya ndoa kwa kuoa mwanamke asie na bikraaaa
Wew unapingaga sn wanaume wenzio sijui jinsia gn ww na uko upande upi yani
Hoja iliyopo mezani inahusisha jinsia ya kike na kiume, kwa maelezo yko wew upo upande wa wanawake unawatetea mara zte, kutwa kupinga male figures ideologiesSi support jinsia, na support idea. Hakuna vita ya mwanaume na mwanamke, kuna hoja.
Haki ya mwanaume ya kujipenda kwa kujiolea mwanamke sealed na ni haki ambayo haijaandikwa kwenye katiba ya nchi Bali itabaki kuwa ni haki yake ya msingi especially kwa anayejielewa juu suala hiloHaki imeandikwa wapi[emoji1][emoji1]? Na nyie mnajitunza??
Niko kwenye ndoa muda mrefu sana, jitunzeni pia kwani kuwa mwanaume ndio kufunua funua?Haki ya mwanaume ya kujipenda kwa kujiolea mwanamke sealed na ni haki ambayo haijaandikwa kwenye katiba ya nchi Bali itabaki kuwa ni haki yake ya msingi especially kwa anayejielewa juu suala hilo
Alafu kuhusu kujitunza sasa wew endelea kushindana na mwanaume matokeo yke ndio hayo mnabaki kuwa masingle mother mtaani hamuoleki sabab ya kutokujitunza
Hoja iliyopo mezani inahusisha jinsia ya kike na kiume, kwa maelezo yko wew upo upande wa wanawake unawatetea mara zte, kutwa kupinga male figures ideologies
Unaumia kwasababu wewe ni moja la janamke ambalo ulizibuliwa kabla ya ndoa!Kelele za mkosaji
Niumie kwa kipi sasa! Unateseka ukiwa wapi?Unaumia kwasababu wewe ni moja la janamke ambalo ulizibuliwa kabla ya ndoa!
Janamke unaweza kumvulia chupi mwanaume asiyekuwa mumeo?,Huoni hiyo ni laana itatafuna hadi kizazi chako?Niumie kwa kipi sasa! Unateseka ukiwa wapi?