Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Huyu mpenzi niliyenae ni wa 561 lakini sijawahi kukutana na bikra,nyie mnawatoa wp mkuu?
 
Nakuunga mkono asilimia mia. Ipo hivi! Tukubali tukatae bikra iliwekwa na muumbaji kwa makusudi maalum hapo hupimwa uaminifu na usafi na hata vizaliwavyo kutoka kwa mwanamke bikra huwa vimetakasika mfano( yesu kristo) unadhani ni kwanini yesu kristo alizaliwa na bikira Maria?

Najua kipindi cha sasa maadili yameporomoka sana kiasi kwamba ngono na uzinzi ni kama salam ya asubuhi , yaan ni kawaida sana na ndio maana tuna mpinga kwa JOKAJEUSI

kukataa huu ukweli ni kuhalalisha mmomonyoko wa maadili, it is true kama utaoa bikra ndoa yako itakuwa na amani hata kukaa na mwanamke wa namna hiyo ni amani sana, najua wapo wasemao kuwa oooh! Mbona hata mwanaume hufanya before marriage[emoji854][emoji6] my friend hakuna VIRGIN BOY OR MEN, hakuna mwanaume mwali[emoji23],

Tukiacha ushabiki wa utandawazi tukarudi katika asili yaani nature ni maagizo ya kimungu mwanamke kujitunza, mwanamke hupokea na mwanaume hutoa katika roho na imani hivyo, destiny yenu hubebwa na mwanamke huyo uliyenaye.

Let's not fight back the nature, BIKRA MATTERS wakuu.
 
Jina lako linasadifu sio binadamu wa kawaida, mwenzetu umekazana bikra bikra au wewe jini unataka watu watoe bikra ili unyonye damu uendelee kuwepo mjini,nimekushitukia.Msisitizo wako hata kwenye amri 10 hatuuoni sijui wewe una base wapi.

Damu safi. Sio damu chafu
 
Kuanzia miaka 10 kwenda 20 ya ndoa ndiyo miaka yenye changamoto nyingi so subiri kwanza na zidi kumuomba Mungu wako.
 
Kuanzia miaka 10 kwenda 20 ya ndoa ndiyo miaka yenye changamoto nyingi so subiri kwanza na zidi kumuomba Mungu wako.

Kabla ya kuoa Walisema kupata mwenye Bikra ni changamoto, nikapata.
Wakasema, kuishi na mke baada ya kuoa ni kazi, nikaoa.
Wakasema, Mwanamke akishazaa inapoteza hamu naye, wangu anawatoto wawili, mpaka sasa mapenzi yanapamba moto.
Sasa mnasema kuanzia miaka 10 kwenda ishirini kuna changamoto.
Hakuna changamoto kwa Watu wanaopendana. Sawa kijana.

Nilitarajia changamoto wakati tukiwa na miaka 20's lakini tumepita huko. Sasa tunaifukuzia 40. Majuku66ni mengi kuliko tamaa za mwili.
 
Bora umshukuru Mungu bro kwenye ndoa hakuna uzoefu bado unasafar
 
Bora umshukuru Mungu bro kwenye ndoa hakuna uzoefu bado unasafar

Hakuna sehemu nimesema mimi ni mzoefu wa Ndoa.
Nilichoeleza ni msimamo na kiapo changu kuhusu familia niliyoiwaza wakati nipo mtoto.
Sasa naona faida yake
 

ukizipata uwe unanipasia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…