Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kabisa.....

Wanawake wanaojitahidi kutunza bikra hawana furaha labda wale washika dini sana

Maisha mafupi, kula bata
Bora ulivyofunguka na mimi sikukimbilia kukujibu kwa kutegemea utafunguka


Mke wangu nimemkuta Bikra ila kwao wote ni wale swala tano
Na alikuwa anafuraha shida inakuja kwa hawa wanaotunza Bikra bila kumtanguliza Mungu hawa wengi wao hawana furaha

Huyu mimi nilimuuliza kwa nini umekuwa Bikra na umri huo, akanijibu

, "sijawahi kutamani kufanya mapenzi na wala sikutaka kujua raha aipatayo mtu anapofanya mapenzi pia niliambiwa ukitolewa Bikra inauma hivyo nikawa naogopa nasubiri kutolewa na mume wangu atakayenioa"

Pia akaniambia, "unajua kitu kama hukijui radha yake pia ukiwa hutaki kukijua ni ngumu kushawishika"
 
Stori za vijiweni bwana
Nani anawadanganya mabikra wasioshika dini hawana RahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka mambo mawili

1. Mambo anayoongea mchungaji
2. Sauti na namna ya uwasilishaji wa mchungaji.

Sijui hata nimeangalia mara ngapi
 
Stori za vijiweni bwana
Nani anawadanganya mabikra wasioshika dini hawana RahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapo wengi tu, sababu kuu ni kusemwa vibaya na wanaume wanaowatolea nje

Unajua wanaume tunatofautiana, chukulia binti anaonekana maeneo ya starehe kila weekend, anakutana na mabaharia wanamtongoza anakubali kisha kutoa mzigo anabania, anaulizwa nini anaanza kusema oooh sijui mi bikra yangu hivi na vile, ukute mtu tayari anavyombo kichwani hapo nini kitafuata kama sio matusi tu

Au akionekana hana mpango na wanaume na ukimwona yupo yupo tu jamii lazima itaanza kumuhisi anajihusisha na vitendo vya usagaji tofauti na hawa waliojishikiza kwenye dini kama ni muislamu muda wote unamuona kajistiri na kama ni mkristo muda wote utamuona kakaa kiupako upako hivyo inakuwa ni ngumu kusemwa vibaya


N:B; Kinachowaumiza ni maneno kutoka kwenye jamii inayowazunguka na sio kujitunza Bikra zao
 
Siipendi bikra.
Mimi nazipenda sana tena uzuri sijawahi kusumbuliwa kwa hawa wawili niliowatoa japo huwa wanalia lakini huwa wananipenda sana sababu huwa situmii nguvu huwa naenda nao taratibu mpaka nafanikisha lengo langu


Huwa wanajikuta wananipenda sana

Mmoja ndo huyu mke wangu wa ndoa sasa
 
Huenda pastor wa mchongo mbona clip imekatwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…