Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Yaan nimecheka adi kujikojolea jaman khaa nimemtafakari mtoa mada ana fikra za kizamani afu ata ukute mama ake mwenyewe aliolewa akiwa na mtoto wa nje ambaye ndo mtoa mada
Hahahahaahahahahhaah mwache aendelee kusibiri bikra
 
Kama unakwenda huko hata ni complicated zaidi, kwani Yesu hakuoa wala kuzaa na alikuwa mwana wa Mungu na Mungu alimtuma kwa wa mfano wa kibinadamu ili tumuamini, sasa kwa nini hakuoa wala kuzaa?


Yesu aliondoka akiwa na age gani? Na zamani unafikiri watu walikuwa wanachumbia au kuoa wakiwa na miaka mingapi. Rahisi sana kuelewa
 
Bado ni mzinzi so kupata bikira pia ni neema tu mkuu ila kwako ww utaweza maana we sifa pekee ya kuwa mke mwema ni moja tu ila tunaohitaji sifa zingine ni taabu kupata hiyo bikira maani anaweza kuwa nayo afu zingine hana bd kwangu hana nafasi


Sasa si uanzishe mada inayosema hivyo Mkuu. Mada hii huelewi inazungumzia nini? Binadamu ni noma hahahaaa
 


Mkuu umeongea hoja zenye mashiko sana. Ila mada inasemaje? Au unajadli upande wa pili wa mada out of point
 
Watu walishashindikana hata kwa muumbaji wao. Leo wewe uje na misemo na nahau watakulewa?
Watu wanakaza ubongo tu..maana wanajua wakikubaliana na wewe watageuka victims something that is not true..[emoji23] [emoji23] Ata kama tayari bikra haipo they just need to be open minded maana kulikubali hili leo linaweza waokoa watoto na wajukuu wao in the future..
 
Chakula hakijaguswa na mtu sawa ila imejazwa chumvi au imechacha alafu hicho ambacho kimebakizwa kiko vizuri je nle chakula chenye chmvi nyingi au nile kilicho bakizwa ila kina utamu wote,bila shaka mwenye akili bora ale makombo au aache vyote,
 
Unajua binadamu hatujakamilika na sehemu penye wawili haiwezekani kila siku pakawa tulivu so kwa mwingine ni better kuwa alone, na kuwa peke yako haimaanishi ni mpweke,kitu mbaya ni upweke tu, na unaweza kuwa mpweke hata kama upo na watu elfu moja
 
Nasitahili kuomba msamaha kwa kweli
Na ufanye hivyo kama umelitambua hilo toa elimu au mawazo yako kwa watu ila kusema mwenye mawazo tofauti na ww ni mjinga au hana akili unakosea unamaanisha ww ni reference ya kipimo cha akili au werevu yaani kwa maana nyingine ww ni unit ya akili
 
Na ufanye hivyo kama umelitambua hilo toa elimu au mawazo yako kwa watu ila kusema mwenye mawazo tofauti na ww ni mjinga au hana akili unakosea unamaanisha ww ni reference ya kipimo cha akili au werevu yaani kwa maana nyingine ww ni unit ya akili


Ila mada ibakie pale pale
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

JF bhana

Mtu anajua dunia inavyoenda
Na huyo mtu anaujua mwisho wa dunia hii
Mtu huyo huyo anazifahamu siri za dunia hii

[emoji2][emoji2][emoji2] Tunawezajikuta tunachart na mungu
hapa bila kujua..[emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…