Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli, unarahisisha sana maisha, maisha ni zaidi ya unavyoyaelewa, na siyo kila binadamu anafikiria unavyofikiria, hivi unajua kuna aina ya watu Wanawake/ Wanaume hawapendi kuwa na watoto na wanatoa kizazi kwa makusudi ili wadizae?
Hata kuolewa/oa pia hivyo, kuna watu wanazaliwa hivyo kwamba hawawezi kuishi na mtu na kwao kuishi wenyewe ni kawaida, hawapungikiwi na kitu, wako wired hivyo kichwani, kama vile watu wanaozaliwa wakimya pia!
Na hao watu ukiwafatilia sana utakuta ana background siyo ya kawaida...kila kitu knakuja kwa sababu
Na mifano tunayo ya akina wema sepetu.Ukiambiwa Mungu mwenye Rehema uwe unaelewa sasa. Huna bikra unatafuta mume na kwa neema ya Mungu unaolewa
Na hao watu ukiwafatilia sana utakuta ana background siyo ya kawaida...kila kitu knakuja kwa sababu
Ndio wapo ila umesahau kusema wale wenye matarizo fulani ya akili, kiroho na upungufu wa mwili. Mwanaume/mwanamke aliyekamilika kamwe hawezi ishi mwenye.
Usifanye kichwa ngumu na umeshaelewa alichomaanisha japo kweli haipo hivyo lakin inaeleweka labda usijue kiswahili,ukizungumzia mwanamke bikira basi na mwanaume awe hajawahi kuzini kama ww ni mzinzi basi maana ya bikira inakosekana maana bila shaka ipo kiroho zaidi au kimungu zaidi nje ya iman mm kiukweli sioni maana ya bikiraNiombe Radhi, Mwanaume tokea lini akawa na bikra?
Mkuu mada yako iko sahihi kabisa, sema kinachosumbua watu humu ni uelewa wa kina katika kile ulichokusudia kukieleza.. binafsi nimekuelewa sana..Mkuu ukweli unatoka wapi kama si kwenye misingi ya imani. Kwa misingi ya kikristo, Bikra inanguvu sana na ni kigezo kikubwa cha kumpata mke. Je unajua kuwa mwanaume anayohaki ya kumpa mwanamke talaka kama hatakuta bikra?
Inategemea kwako kwa kukamilika unamaanisha nini, kwani wapo wagonjwa wa akili wengi tu wanao/lewa!
Tabia ipi mkuu unayoizungumzia. Kuendana kitabia na mwanamke ni kuwa mwaminifu hayo mengine ni ziada
Usifanye kichwa ngumu na umeshaelewa alichomaanisha japo kweli haipo hivyo lakin inaeleweka labda usijue kiswahili,ukizungumzia mwanamke bikira basi na mwanaume awe hajawahi kuzini kama ww ni mzinzi basi maana ya bikira inakosekana maana bila shaka ipo kiroho zaidi au kimungu zaidi nje ya iman mm kiukweli sioni maana ya bikira,kama mwanaume umetulia unasubiri ndoa ni haki yako kudai bikira ya mwanamke tofauti na hapo wanaume tuache unafki hamna mwanamke anayejitoa bikira so wote tunahusika
Wewe inaonesha bikra zote tatu huna... huwezi kutetea kitu kibaya kama hicho.Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.
Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Hapa sasa umefika mkuu kama ni kiimani bila shaka uzinzi pia ni dhambi so mwanaume asiwe amewahi kukutana na mwanamke kabla ya kuoa sio kwa sababu mwanaume hana ishara ndo uzinzi umehalalishwa kwetu,et mwanaume anataka aoe bikira na huku umeshaziharibu kadhaa na kuziacha utakuwa mnafki sana kama hujawahi mkuu na unasubiria mpaka uoe ni haki yako kabisa na unahaki yakumuita ambaye hajaoa bikira kuwa ni mjinga hana akili ila kama ufanya ngono nje ya ndoa yaani kabla hujaoa na unataka uoe bikira basi ww sintakosea nkikuita mnafkiSuala la bikra limekaa kiimani na kimaadili Mkuu. Hakuna mwanamke ambaye hakuzaliwa na bikra kama alizaliwa akiwa na uke uliokamilika.