Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kosa la amber ni kubwa Kwan kuwa limetokea mtandaoni but wanaofanya hayo ni wengi Sana Katika jamii,Tumsaidie mkuu wa mkoa kuwang'amua watu hao katika jamii


Kuondoa uchafu jalalani ni ulofa.
 
Na hao watu ukiwafatilia sana utakuta ana background siyo ya kawaida...kila kitu knakuja kwa sababu
Siyo kweli, unarahisisha sana maisha, maisha ni zaidi ya unavyoyaelewa, na siyo kila binadamu anafikiria unavyofikiria, hivi unajua kuna aina ya watu Wanawake/ Wanaume hawapendi kuwa na watoto na wanatoa kizazi kwa makusudi ili wadizae?
 
Hata kuolewa/oa pia hivyo, kuna watu wanazaliwa hivyo kwamba hawawezi kuishi na mtu na kwao kuishi wenyewe ni kawaida, hawapungikiwi na kitu, wako wired hivyo kichwani, kama vile watu wanaozaliwa wakimya pia!


Ndio wapo ila umesahau kusema wale wenye matarizo fulani ya akili, kiroho na upungufu wa mwili. Mwanaume/mwanamke aliyekamilika kamwe hawezi ishi mwenye.
 
Na hao watu ukiwafatilia sana utakuta ana background siyo ya kawaida...kila kitu knakuja kwa sababu


Anazungumzia wale wenye majini, vichaa na mapungufu ya kiafya kama kupooza. Pia anazungumzia wale wazee waliozeeka na wachawi. Hivyo yupo sahihi.
 
Wengine hawakupenda kutoa kwa hiari ......walibakwa


Kweli kabisa, wengine waliachika huku wengine wakiishia kulaghaiwa. Sasa mkeo ukimkuta hana alama ya uaminifu ni wajibu wake kueleza kuwa ilikuwaje. "kwa nini umekula tunda?"
 
Niombe Radhi, Mwanaume tokea lini akawa na bikra?
Usifanye kichwa ngumu na umeshaelewa alichomaanisha japo kweli haipo hivyo lakin inaeleweka labda usijue kiswahili,ukizungumzia mwanamke bikira basi na mwanaume awe hajawahi kuzini kama ww ni mzinzi basi maana ya bikira inakosekana maana bila shaka ipo kiroho zaidi au kimungu zaidi nje ya iman mm kiukweli sioni maana ya bikira

kama mwanaume umetulia unasubiri ndoa ni haki yako kudai bikira ya mwanamke tofauti na hapo wanaume tuache unafki hamna mwanamke anayejitoa bikira so wote tunahusika
 
Mkuu ukweli unatoka wapi kama si kwenye misingi ya imani. Kwa misingi ya kikristo, Bikra inanguvu sana na ni kigezo kikubwa cha kumpata mke. Je unajua kuwa mwanaume anayohaki ya kumpa mwanamke talaka kama hatakuta bikra?
Mkuu mada yako iko sahihi kabisa, sema kinachosumbua watu humu ni uelewa wa kina katika kile ulichokusudia kukieleza.. binafsi nimekuelewa sana..
Bikra inatupa ishara nyingi katika njanja tofauti tofauti..
1~ Katika dini bikra ni ishara ya hofu ya Mungu, kwa maana kwamba kwa imani za kidini ni dhambi kufanya ngono kabla ya ndoa, so tunategemea mtu mwenye hofu ya Mungu kuwa bikra..

2~Kimaadili bikra ni ishara ya kijiheshim, kwa maana kwamba jamii inaamini mtu anayejiheshim hawezi fanya ngono na mtu baki asiye muheshim.

3~Kiafya bikra ni ishara ya kujipenda na ni ishara ya usafi, ngono inamaana pale tu itakapofanyika ndani ya ndoa lakini nje ya ndoa ngono ni uchafu wa fikra na mwili pia..

4~Kisaikologia bikra ni ishara ya uaminifu na kujitambua,, aliyetoa bikra kabla ya ndoa anatafsiliwa kama hana huaminifu na hajitambui thamani yake.

Hizi sifa anazopewa mtu mwenye bikra ndizo hutumika kama sifa za mke bora. Ukipata mke mzuri kimaumbile na ni bikra huyo lazima awe wife material, nafikiri hichi ndicho anachokimaanisha mtoa mada... Kama huna bikra na umeolewa basi ni neema tu na ni mapenzi ya Mungu...maana Mungu anawapenda wote mabikra na wasio mabikra ila anachukizwa na uzinzi...
 
Siku hizi mchawi pesa wala sio BK tena kama enzi za mababa na mababu zetu

Ninauhakika hapa akija mwanamke mwenye pesa mwenye kama 35 hata awe na watto akisema anatafuta kijana wakumuoa utaona siku haiishi atapata watu wakutosha
 
Inategemea kwako kwa kukamilika unamaanisha nini, kwani wapo wagonjwa wa akili wengi tu wanao/lewa!

Ikiwa Mungu aliona si Vyema mtu awe peke yake. Huyo ni Mungu aligundua kuna tatizo. Sasa wewe mtu unashindwaje kuliona tatizo? Mbona mambo mengine madogo tuu
 
Usifanye kichwa ngumu na umeshaelewa alichomaanisha japo kweli haipo hivyo lakin inaeleweka labda usijue kiswahili,ukizungumzia mwanamke bikira basi na mwanaume awe hajawahi kuzini kama ww ni mzinzi basi maana ya bikira inakosekana maana bila shaka ipo kiroho zaidi au kimungu zaidi nje ya iman mm kiukweli sioni maana ya bikira,kama mwanaume umetulia unasubiri ndoa ni haki yako kudai bikira ya mwanamke tofauti na hapo wanaume tuache unafki hamna mwanamke anayejitoa bikira so wote tunahusika


Tafsiri hiyo umeitoa wapi? Unajua maana ya kitu bikra? Tangu lini mtumiaji akawa bikra? Elimu ni kitu muhimu sana. Mwanaume aliumbwa kutumia vitu vya ulimwenguni akiwemo mwanamke.

Iweje yeye awe Bikra?
 
Mtu mwenye hela zake kama majizo, HB na anaheshimika katika jamii anajiandaa kumuoa lulu ambae Tz nzima inamjua kwa namna alivokuwa siku za nyuma. Mwanaume hajamjudge, amemkubali alivyo, zaidi sana anambadilisha awe mke mwema kwake.

Tabu ipo kwa makapuku, mia mbili mfukoni hawana, uHB hawana, usafi "F", hawafahamiki popote, maisha yao kuunga unga tu, ila kutwa kuongea nonsense juu ya wanawake as if they are all that! Mtu hana chochote zaidi ya pu*** na simu ya tekno lakini anataka mwanamke mzuri, bikra, anakazi, etc Ulofa tu Povu ruksa.........
Wewe inaonesha bikra zote tatu huna... huwezi kutetea kitu kibaya kama hicho.
 
Suala la bikra limekaa kiimani na kimaadili Mkuu. Hakuna mwanamke ambaye hakuzaliwa na bikra kama alizaliwa akiwa na uke uliokamilika.
Hapa sasa umefika mkuu kama ni kiimani bila shaka uzinzi pia ni dhambi so mwanaume asiwe amewahi kukutana na mwanamke kabla ya kuoa sio kwa sababu mwanaume hana ishara ndo uzinzi umehalalishwa kwetu,et mwanaume anataka aoe bikira na huku umeshaziharibu kadhaa na kuziacha utakuwa mnafki sana kama hujawahi mkuu na unasubiria mpaka uoe ni haki yako kabisa na unahaki yakumuita ambaye hajaoa bikira kuwa ni mjinga hana akili ila kama ufanya ngono nje ya ndoa yaani kabla hujaoa na unataka uoe bikira basi ww sintakosea nkikuita mnafki
 
Back
Top Bottom