Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Kutwa kuwasema wanawake hawana bikra.

Mnataka traditional feminine woman lakini hamtaki kuwa traditional masculine men, who provide.

Una-advocate wanawake wawavumilie wanaume kama hawana hela lakini by default mwanaume kama huna hela ni kwamba huwezi ku-provide so YOU ARE NOT MASCULINE ENOUGH kupata traditional woman who is a virgin.

Unachokiongea hapa kiltakiwa kisemwe na kina Elon Musk na kina Diamond.

Wewe kapuku achana n hizo story. Dunia imebadilika mkuu.

Plus, acha kuwasikiliza kina Andrew Tate
 
You're very desperate for attention bro.

Nani kakwambia ukiandika kwa font size ya kawaida hatuto-ona ulichoandika.
 
Kuna matatizo yunayatengeneza, alafu yanakuja ku-backfire kama hivi
 
Bikra ni kitu muhimu na cha thamani sana.

Watu husema sikuiz hamna bikra ila mimi naamini bikra wapo wengi tu tena wengi mno.
 
Bikra Maria.....ndo kielelezo cha usafi hata Mungu anajua umuhimu wa bikra ndomaana akachagua tumbo la mwanamke bikra Maria ili aje duniani kutuokoa na dhambi...

Kama mkeo sio bikra iyo ni taasisi au kampuni na sio ndoa ndoa ni safi kuanzia mwilini mpaka mwilini ukidate na ginjaginja huwezi kufeel kama upo kwenye ndoa bali upo kwenye kampuni ambayo watu wengi wamefanya kazi na kupewa lidandasi na wengine waliaamua kuacha wenyewe kutokana na mazaifu ya taasisi......
 
Kama mkeo sio bikra iyo ni taasisi au kampuni na sio ndoa ndoa ni safi kuanzia mwilini mpaka mwilini ukidate na ginjaginja huwezi kufeel kama upo kwenye ndoa bali upo kwenye kampuni ambayo watu wengi wamefanya kazi na kupewa lidandasi
Losers na last men watakataa hapa lakini moyoni wanakubali ulichoandika
 
Wanawake bikra wapo vijijini huko mara nyingi Hawa tunawaharibu akili Sisi wenyewe WANAUME lakini ukipata bikra umeshinda game la kucheat Kwa asilimia 90
 
Walioa wanawake ambao hawakuwakuta bikra mada kama hizi huwa zinawaumiza sana😂
Wameoa malaya sasa wanajionea changamoto kwenye ndoa zao

Amini nakwambia hakuna mwanaume aliyeweza kumgeuza mwanamke malaya (non-virgin) akawa mke (house wife) akafanikiwa

Angalia nyuzi zao wakilalama humu

Once you are a loser you are a loser forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…